Search results

  1. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Nimemaliza hela hapa Internet cafe. Nawashukuru sana mliotoa michango ya kujenga na ninawapongeza wale wadau wa section ya matusi. Na siku ingine pia. Tuendelee kujadili kwa hoja, tutafika tu. Tusitukanane kama hatuna akili. Baade wadau
  2. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Mimi nadhani mikataba yoote akipewa Tundu Lisu aisign ndio tutaamini. Ila hawa wengine ni wanasheria wezi. Tatizo sio mikataba, tatizo ni model nzima ya uwekezaji ndio hairuhusu adjustments. KUna wataalamu wazalendo kabisa wako mawizarani, ndio wanaandika hivi vitu. Tuwaungeni mikono na...
  3. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Hapa tunajadili hoja baada ya hoja hatuonyeshani ubabe hadi uanze kuniambia nifute jina langu. Futa lako, achana na langu. Mimi pia ningependa hayo hayo matumizi yasiyokua na lazima yakomeshwe mara moja kwa hiyo basi, kama Luhanjo na CAG wamekiri kwamba fedha kama hizo ni kawaida zitolewe, kumbe...
  4. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Nakubali kwamba mtaalamu lazima aweze kupredict nini kitatokea mbele ya safari. Ila ni vigumu sana kupredict nini kitatokea kwa hiyo cha kufanya ni kuacha "gap" for adjustments in case kitatokea chochote. Hilo ndio pungufu kubwa na kwa bahati mbaya wawekezaji wote duniani hua hawalitaki. Sio...
  5. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Hata mikataba iliyoandikwa na wataalamu unayoitaja haina matatizo kama picha unayoichora. Bali ina-tatizo la kutokua inaendana na mabadiliko yanayotokea ki-uchumi na kisiasa. Hilo ndio tatizo. Kwa mfano mikataba iliyoandikwa mwaka 2001 ilikua safi kabisa enzi hizo, lakini kutokana na uchumi...
  6. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Nashukuru kwa matusi,, ila ni haki yangu kutoa maoni yangu. Ila kwa vile wachangiaji ni wengi, basi na mie nakuomba uendelee ku-skip mitazamo yangu kama ambavyo nimekua nikifanya kwenye ya-kwako
  7. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Kaka kwanza kuna-sababu nyingi zinazosababisha mwingine awe na-uwezo (pesa), mwingine nao kiasi na mwingine awe hana kabisa. Ukizifuatilia sababu zote utagundua hakuna jinsi, kila mtu kapewa vyake na muumba wake. Kwa hiyo hata kama wasingemshangilia, sidhani kama uwezo na vitu alivyonavyo...
  8. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Mkuu kuanzia leo nitakuheshimu sana. Una majibu ya ki-utu uzima. Asante. Ila hata hapo juu umekosea kutoa mtazamo kwamba wafanya kazi wa wizara ya nishati wamekosea kumpokea kwa shangwe boss wao. Sio vizuri jamani. Ni kweli nchi ina-taratibu zake na ndio tunatakiwa tuziheshimu. Hatutakiwi...
  9. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    They are all social media,, hata facebook unaweza ukaweka habari kama hizi na watu wakajadili. Na unaweza kuandika jina lisilo lako pia kama hapa JF.so, it doent matter eloh..
  10. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Hapana mkuu, amam yako ndio role model wangu.. naona umekataa offer yangu niliyokupa ya kukuheshimu na kutotukanana
  11. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Unajua tatizo lako umedandia hoja bila kujua ilipoanzia. Anza kusoma toka mwanzo na utaona nani alijibu hoja na nani aliyumbisha hoja. Soma toka mwanzo. Otherwise usipende kua unadandia vitu usivyovijua, maana kuna vingine ukividandia unaishia kupata MIMBA
  12. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    ha ha ha... i am a heavyweight youngman, i dont love attention "seloh".. You want to be famous out of my arguments hah?!!..you are nothing but Kim Kardashian
  13. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Nadhani usirukie kitu usichokijua vizuri, soma toka mwanzo na utajua nani alisema hilo neno hamnazo. Be careful, usikurupuke
  14. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Hujatoa hoja yoyote ya kujibu zaidi ya kuniuliza kama mimi ni riziki. Na teyari nimekupa ufafanuzi kwamba mimi ni riziki na kama unataka kuhakikisha basi tuwasiliane na tupange wapi tukutane ili uhakikishe mwenyewe. Nitalipa gharama za hoteli
  15. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Mie nimeamkia kuwaelimisha hao kina bishop.. waliokalia umbea umbea tuuuu kila siku wakati wana-wake nyumbani.. Sijui wanaume tunaelekea wapi, mambo ya wake zetu, yanafanywa na wanaume wenzetu. Nimeona wengine wameanza kuvaa suruari zinazobana. Tutafika tu
  16. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Nadhani hujanitendea haki kwa kunitukana moja kwa moja mimi badala ya kujibu challenge nilizozitoa. Huwezi kuniita juha wakati wewe hujafanya kipimo na kujua kama wewe ni juha au lah. Hata mwehu hua anawazomea watu waliovaa nguo, japo yeye ndie yuko uchi. STFU
  17. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Hapana mkuu wewe ndie ulianza kwa kuniuliza kama hoja zangu ndio za kiume. Na mie nikasema ndio, na nimetoa utetezi wangu. Ila nikashangaa wewe uko-interested sana na watu binafsi. Sijui kwa nini. Mie ni riziki kabisa mkuu, kama unataka ku-prove niko teyari kulipia hotel ili uone mwenyewe
  18. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Ndio maana nikakwambia acha kufuatilia watu,, unataka picha yangu ya nini mwanaume mzima?? Ni kweli "Haunazo".. mwenye nazo hawezi kuamka asubuhi na kuanza kufuatilia Jairo amekula nini. Wewe ndio kuwadi, mtumwa na agent wa porojo na maneno yasiyokua na tija.
  19. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Inaonekana unatafasiri kitoto sana neno "Nitasema bila Uoga".. maana yake sio "Kusema maswala ya watu binafsi na kufuatilia maisha yao".. Ukishakujua kutofautisha hivyo vitu viwili basi utakubaliana na msemo wangu niliousema hapo awali kwamba unatakiwa ubalehee kwa maneno unayoyatoa kinywani...
  20. N

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Ndio,, inapinga umbea na kuongelea watu muda wote. Sasa kuna tofauti gani na waimba taarabu?? Wanaume mizima na mawani lakini kila saa mnafuatilia wanaume wenzenu oooh flani kafanya hivi ooh flani alikuwa sehem flani. Umbea utawauwa. Ni wakati wa kubalehe
Back
Top Bottom