Search results

  1. Mdau jf

    Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
  2. Mdau jf

    Fedhea ya kubambika/kubambikwa mtoto, tujadili

    Vipi baba halali hajajitokezaga tuu
  3. Mdau jf

    Msaada mtoto wangu hataki kula

    Mkuu ulifanya Nini mpaka akaanza kula, bila kutapika?
  4. Mdau jf

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu napata ujumbe kama huu manaake Nini?
  5. Mdau jf

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mie mgeni jamani natamani kujua hizo code zinamaana Gani??
  6. Mdau jf

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Jamani Kuna hizi gb 5.5 za tigo ofa Kuna anaye fahamu??
  7. Mdau jf

    Kaniambia tuachane ila bado nampenda ushauri wako muhimu

    Mkuu vipi ndo hamkurudiana tena au??
  8. Mdau jf

    Kaniambia tuachane ila bado nampenda ushauri wako muhimu

    Mkuu vipi ndo hamkurudiana tena au??
  9. Mdau jf

    Nimepata mtoto hafanani kabisa na mimi

    Kama angekua wa kiume je??
  10. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    bado unaishi geto mkuu?
  11. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Zinuzwaje bei yake
  12. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Zinuzwaje
  13. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Hapo ni chumba kimoja au viwili!???
  14. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Nahisi wakati wa kupika ule mvuke unaganda ukutani pale ulipo mtungi
  15. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mbona Kodi kubwa boss,
  16. Mdau jf

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Kwani kinacho sababisha ule uchafu si mvuke au
Back
Top Bottom