Search results

  1. M

    Camera ya Google Pixel ni Balaa

    Kuacha Iphone sijajua ni Sim gani inaipa Upinzani Google Pixel kwenye Camera Kama ni Redmi basi tupieni picha zake hapa mimi natupia zangu za Google pixel Jamani kuacha Camera hiyo kiatu hicho cha ngozi bei ni 85,000 tu ni ngozi tupu 0678096545 location Dar
  2. M

    TV4Sale Nauza Star x led inch 43' 550,000

    Nipo Temeke mzigo upo ukutani ipo safi kama nlivyoitoa dukani Bei 550,000 0678096545 Mawasiliano 0678096545
  3. M

    Nguvu za kiume hazirudishwi na Madawa, mnaibiwa

    Watu wengi mmekuwa mkiibiwa sana kwa kuongopewa kuwa tatizo la nguvu za kiume linamalizwa na madawa kwa wiki moja or siku tatu, watu wamekuwa wakitapeliwa sana pesa zao leo acha niwafungue akili kuwa nguvu za kiume hazitibiwi na madawa mnayouziwa nawapa dawa nafuu tu isiyo na gharama wala...
  4. M

    Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

    Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima. Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako...
Back
Top Bottom