Search results

  1. W

    Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave umejidhalilisha kwa Rais

    Hizi ni salaam za Mbunge wa Temeke ktk ziara ya Rais mkoani Dar es Salaam. Ukweli ni kuwa ulipaswa uombe TAKUKURU ili ichunguze mkopo mliochukua CRDB badala ya kuomba Serikali kuu ilipe. Dada yangu umekosea Sana na ninamuunga mkono Rais, ana haki ya kuukataa. Ni ufisadi tosha. Muundo wa...
  2. W

    Waganga wa kienyeji wafutwe Tanzania, wamesababisha nchi kuwa nyuma kimaendeleo

    Tafadhali naomba mamlaka husika kusikia kilio hiki kwa umma. Waganga wa kienyeji kwa hakujua yangu wamesababisha maafa au janga kwa jamii ya Kitanzania na udhalilishaji kwa: watu hawafanyi kazi, Imani za kishirikina na uvivu ulotopea. Jiji la Dar es salaam mahali ambapo palitakiwa pawe...
  3. W

    RC Kunenge na Waziri Ummy Mwalimu, dhibitini suala la uchafu katika jiji la Dar es Salaam

    Ndugu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam nakupa hongera kwa nafasi uliyopewa. Mh Rais amekuamini na mimi nakuamini. Miundombinu kama inavyoimarishwa kwa kweli Serikali hii itakumbukwa kwani nia na madhumuni jiji hili lifanane km majiji mengine duniani. Lakini naomba sana pamoja na Serikali kwa...
  4. W

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, piga marufuku mabango ya Waganga wa Kienyeji yaliyojaa barabarani

    Salam Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Naomba upige marufuku mabango ya waganga wa kienyeji walio weka barabara na mitaani, hii ni hatari tena ni uchafu wa jiji letu katika ardhi hii ya Tanzania. Sauti yako mheshimiwa itakuwa ujumbe wa baraka katika utumishi wako. Pili hawa watu...
Back
Top Bottom