Search results

  1. T2020JPM

    TANAPA yapata tuzo ya ubora wa huduma

    Tundu Lissu anasemaje kuhusu hili?
  2. T2020JPM

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.
  3. T2020JPM

    Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

    Tanzania hakuna wapinzani wa ukweli hawa ni wapigania matumbo yao waweze kwenda chooni.
  4. T2020JPM

    Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

    Kwisha habari yake... kifo cha mende ndembendembe
  5. T2020JPM

    Mwenye kiburi akiinuliwa juu anainuliwa ili aanguke vibaya

    Mnaweweseka bure imekwisha iyo kesho anakula kiapo tunaendelea kuchapa kazi.
  6. T2020JPM

    Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Pia tujue sheria inasema nini juu ya maandamano yasiyo na kibali? Lissu lazima tumfunge miaka kadhaa jera akitoka atakua amenyoka subiri kesi zake zianze kusikilizwa tena na atajuta kurudi tz.
  7. T2020JPM

    Watanzania tumuombee sana Lissu

    Hilo bazazi wameliachia la nini lilitakiwa linyee debe walau kwa siku tatu hivi.
  8. T2020JPM

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Lazima kuwe na tofauti kati yetu ndugu mfuasi. Wewe unaweweseka.
  9. T2020JPM

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Bado upo kwenye upimbi wa buku saba? Wakati wa kampeni tuliwaambia pambaneni kutafuta wanachama mkawa mnaleta hoja zisizo na mashiko, watu wakijaa kwenye kampeni za ccm mnasema wamefuata wasanii, tukija kuwapa nondo hapa jf mkasema tunalipwa buku saba..... mwisho wa siku uchaguzi umeisha...
  10. T2020JPM

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Ninaweza kuzipata ila sipo tayari kupoteza bundle langu kusikiliza viongozi wa chadema na Act wakiweweseka kupigania matumbo yao. N.b ni ACT sio ATC kama ulivyoandika ndugu mfuasi.
  11. T2020JPM

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Nisikilize au nisome tena? Labda kiswahili kinakupiga chenga ndugu mfuasi.
  12. T2020JPM

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Sawa ndugu mfuasi, ila mliambiwa muandamane leo kuanzia saa mbili asubuhi.
Back
Top Bottom