Search results

  1. J

    Nina shahada ya Ugavi na Manunuzi, natafuta kazi

    Habari zenu wana JamiiForums. Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu mwaka jana(2019) shahada ya ugavi na manunuzi. Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea, kwa aliyekua na msaada tafadhali share. Asante.
Back
Top Bottom