CHATANDA: WANAWAKE WOTE WAJE WAJIFUNZE
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda akizungumza katika kipindi cha Sentro cha Clouds Tv Aprili 24, 2024 kuelekea mdahalo wa kitaifa wa Wanawake na Muungano tarehe 25 Aprili, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Aprili 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Oparesheni za Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa Bwana, Jean Pierre Lacroix, katika Ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Jijini...
CHATANDA AWAPA POLE WAHANGA WA MAFURIKO WILAYANI KILOMBERO - MOROGORO
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro na Kuwapa Pole kwa Mafuriko ya Mvua iliyotokea katika Maeneo mbalimbali na Kuathiri...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda(MCC) akizungumza na Viongozi na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro na kutoa pole na faraja kwa wahanga wa Mafuriko ya Mvua Mkoani humo.
- Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE
- Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma, Dodoma, Katavi na Lindi
- Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo wadau wa Sekta ya Madini kutoka Kampuni ya...
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI HAFLA YA UZINDUZI WA BOTI YA DORIA KATIKA BAHARI NA MAZIWA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, April 21, 2024 ameshiriki katika halfa ya Uzinduzi wa boti ya kisasa ya doria katika bahari na maziwa makuu...
CHATANDA ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKIZI YA MIAKA 90 YA DKT JOHN SAMWEL MALECELA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameshiriki hafla ya kumbukizi ya Miaka 90 ya Kuzaliwa Waziri Mkuu mstaafu Dkt. John Samwel Malecela zilizofanyika katika Ukumbi wa Kilimani...
Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, UWT imeandaa mdahalo wa Kitaifa wenye Dhima ya Nafasi ya Wanawake ndani ya miaka 60 ya Muungano. Tulipotoka, Tulipo na Tunapoelekea litakalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Tarehe 25 Aprili, 2024.
UWT...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.
========
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa
#60yaMuunganoTz
Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22, 2024 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Usikose!
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), leo tarehe Aprili 18, 2024 amefanya ziara ya kikazi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya 834 Makutupora iliyopo Makutupora jijini Dodoma. Mhe Dkt Stergomena L. Tax, ni miongoni wa viongozi waliopata mafunzo ya...
VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM
Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
UWT YATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYA YA KIBITI
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Aprili 17, 2024 wamekabidhi msaada wa Chakula na mahitaji maalum kwa waarhirika wa mafuriko wilayani Kibiti.
Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kitasakwa kilichopo kata ya Bwiregi wilayani Butiama ikiwa ni utekelazaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Akizungumza na hadhara hiyo asubuhi ya Aprili 16, 2024 baada ya kusikiliza kero zao...
UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoani Pwani.
Akizungumza na Wanahabari Aprili 15, 2024...
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI SHEREHE ZA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO ZANZIBAR
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Aprili 14, 2024 ameshiriki katika sherehe za uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb) wakati wa kikao maalum kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kikao hicho kiliwasilisha ripoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.