Search results

  1. Ojuolegbha

    Waziri Stergomena Tax ashiriki hafla ya uzinduzi wa boti ya doria katika bahari na maziwa

    WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI HAFLA YA UZINDUZI WA BOTI YA DORIA KATIKA BAHARI NA MAZIWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, April 21, 2024 ameshiriki katika halfa ya Uzinduzi wa boti ya kisasa ya doria katika bahari na maziwa makuu...
  2. Ojuolegbha

    Chatanda ashiriki hafla ya kumbukizi ya miaka 90 ya Dkt. John Samwel Malecela

    CHATANDA ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKIZI YA MIAKA 90 YA DKT JOHN SAMWEL MALECELA Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameshiriki hafla ya kumbukizi ya Miaka 90 ya Kuzaliwa Waziri Mkuu mstaafu Dkt. John Samwel Malecela zilizofanyika katika Ukumbi wa Kilimani...
  3. Ojuolegbha

    Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano

    Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, UWT imeandaa mdahalo wa Kitaifa wenye Dhima ya Nafasi ya Wanawake ndani ya miaka 60 ya Muungano. Tulipotoka, Tulipo na Tunapoelekea litakalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Tarehe 25 Aprili, 2024. UWT...
  4. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Nukuu mbalimbali za Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari.
  5. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. ======== Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
  6. Ojuolegbha

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa #60yaMuunganoTz Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22, 2024 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Usikose!
  7. Ojuolegbha

    Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    Kina Mama waliojifungua kambini wapatiwa Vifaa vilivyopelekwa na UWT Taifa.
  8. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara ya kikazi kikosi cha 834 Makutupora

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), leo tarehe Aprili 18, 2024 amefanya ziara ya kikazi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya 834 Makutupora iliyopo Makutupora jijini Dodoma. Mhe Dkt Stergomena L. Tax, ni miongoni wa viongozi waliopata mafunzo ya...
  9. Ojuolegbha

    Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    CHATANDA AWAPA POLE WANANCHI WA IKWIRIRI KWA MAFURIKO WILAYANI RUFIJI Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akizungumza na wananchi waliojitokeza njiani katika eneo la Ikwiriri wilayani Rufiji alipokuwa anaelekea katika Kata ya Muhoro kutoa msaada wa UWT...
  10. Ojuolegbha

    Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  11. Ojuolegbha

    UWT yatoa msaada wa chakula na mahitaji maalum kwa waathirika wa mafuriko Wilaya ya Kibiti

    UWT YATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYA YA KIBITI Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Aprili 17, 2024 wamekabidhi msaada wa Chakula na mahitaji maalum kwa waarhirika wa mafuriko wilayani Kibiti. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary...
  12. Ojuolegbha

    UWT Kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akizungumza katika kituo cha redio Uhuru kabla ya safari ya Kuelekea Rufiji na Kibiti tarehe Aprili 17, 2024.
  13. Ojuolegbha

    Agnes Marwa awezesha vikundi mbalimbali Bwiregi - Butiama

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kitasakwa kilichopo kata ya Bwiregi wilayani Butiama ikiwa ni utekelazaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi. Akizungumza na hadhara hiyo asubuhi ya Aprili 16, 2024 baada ya kusikiliza kero zao...
  14. Ojuolegbha

    UWT Kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti

    UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoani Pwani. Akizungumza na Wanahabari Aprili 15, 2024...
  15. Ojuolegbha

    Dkt. Stergomena Tax ashiriki sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 60 ya muungano Zanzibar

    WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI SHEREHE ZA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO ZANZIBAR Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Aprili 14, 2024 ameshiriki katika sherehe za uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika...
  16. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amefanya Mkutano na Waandishi wa Habari, kuhusu hali ya mvua na Maafa ya Mafuriko nchini, Aprili 14, 2024. Dar es Salaam.
  17. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari kuhusu Hali ya Mafuriko Nchini, Hatua Zilizochukuliwa, pamoja na Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere.
  18. Ojuolegbha

    Kikao cha kupokea ripoti ya maafa ya mafuriko

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb) wakati wa kikao maalum kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kikao hicho kiliwasilisha ripoti...
Back
Top Bottom