Search results

  1. Mwita Mtu Mrefu

    Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana! Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
  2. Mwita Mtu Mrefu

    Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

    Wana bodi, natumai mko poa Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji
  3. Mwita Mtu Mrefu

    Phone4Sale Iphone 7+ kwa 480,000 tu, uhasibu Dar es salaam

    Nauza iPhone seven plus Storage gb32 Battery 🔋 💯 Fingerprint ✅ Clean condition Bei 480,000 Used for 4 months Uhasibu, DSM---0625750755
  4. Mwita Mtu Mrefu

    Israel ni taifa linalopenda vita na visasi. Inakuwaje liwe taifa takatifu? Taifa Teule?

    Binafsi sioni kama Israel ni taifa kioo kwa Mataifa Mengine. Sawa Israel imebarikiwa kulingana na Biblia Takatifu, lakini Je, inapaswa kuendelea kuitwa taifa teule na kuendelea kuhubiriwa makanisani kama mfano kama taifa takatifu? Utakatifu wake uko wapi wakati inamwaga damu kila siku? Israel...
  5. Mwita Mtu Mrefu

    INAUZWA Je, unahitaji kiwanja au nyumba ya kununua jijini Mwanza?

    Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu.. kununua kiwanja/viwanja kununua nyumba karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k) Mawasiliano; 0744033555
  6. Mwita Mtu Mrefu

    INAUZWA Pikipiki 2 zinauzwa kwa bei rahisi

    Pikipiki hizi zinauzwa Kila moja ni Tshs 2.2milion Location Dar es salaam Call 0744033555
  7. Mwita Mtu Mrefu

    Plot4Sale Unahitaji Nyumba/ kiwanja/Shamba ndani ya jiji la Mwanza?

    Hello JF. Karibu tukuhudumie katika Mahitaji ya kununua Nyumba katika maeneo mbalimbali ya jiji kama igoma nyegezi kisesa n.k Kununua viwanja na mashamba ndani ya jiji la mwanza sehemu kama Fumagila bado kuna mashamba makubwa yanahitaji wanunuzi Viwanja vipo vyenye hati na visivyo na hati...
  8. Mwita Mtu Mrefu

    Zipo Juice za kunywa ila sio kama hii

    Dah hii juice ina sukari nyingi sana.. Haijakaa sawa haswa kwa matumizi ya watoto na wazee..
  9. Mwita Mtu Mrefu

    Ni vipi mtu anaweza kujua jina la mmiliki wa gari kupitia plate number?

    Hello JF, Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi. Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
  10. Mwita Mtu Mrefu

    Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

    Habari JF.. Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana. Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia? Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda. Je, wanakwama wapi?
  11. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale Suzuki Auto namba C kwa 2.5 mil only

    Jipatie gari hii ndogo ikiwa katika hali nzuri. Full Document Njoo ukague gari na fundi wako. Loc: Zakhem, Dar: 0744033555 Picha zaidi njoo whatsapp
  12. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale Gari: Toyota Cresta for only 3.8million

    Toyota Cresta Automatic Gear Full Ac Full paid Full documents Cc 1980 Yom 1999 Engine Ni 1g Kavu Big music inside All Tyres are NEW Price Ml 3,800,000/ Note Gari Ni YANGU na Bei haipungui maana haina tatizo lolote inaonekana Muda wote Kimara Mwisho 0744033555
  13. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale Noah namba D kwa bei Chee

    Nakusogeze gari hii kwa bei poa sana Noah namba D kwa 5.5 million bila udalali Gari ina Kadi yake Low mileage Njoo magomeni Dar uikague Nipigie 0744033555
  14. Mwita Mtu Mrefu

    TV4Sale Goodman TV inch 32 bei nafuu, 225,000 tu: Tabata Segerea

    Habari jf. Nakusogezea bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu sana. Jipatie Tv aina ya Goodman kwa bei tajwa hapo juu. Tv sio smart. Call 0744033555
  15. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale Noah kwa bei ya kanisani

    Gari ni Auto Gear Gear box na Engine vyote viko vizuri. Mchungaji kasema niiuze kwa 5.6mil tu. Location: magomeni makuti, Dar Piga simu mapema 0744033555
  16. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale corolla 111 for sale. 0744033555

    Car in good condition Engine gearbox all well maintained Located in Dar Call 0744033555 Price 3.5mil
  17. Mwita Mtu Mrefu

    INAUZWA PIKIPIKI AINA YA TVS cc 150 kwa 1.3 mil

    Hello jf Hiki chombo kina kina document zote za umiliki Chombo kinafanya kazi vizuri Karibu tufanye biashara 0744033555 Loc: Dar es salaam
  18. Mwita Mtu Mrefu

    Plot4Sale Kiwanja mita 30 kwa 30 kinauzwa: Mbezi Makabe kwa 9mil

    Hello Jf. Kiwanja kiko katika mazingira mazuri mazuri kama kinavyoonekana Kishapimwa, hati ndio inasubiriwa Umeme upo, hatua chache huongezi nguzo Maji yapo lakin chumvi. Dawasa inakuja soon. Kinafikika kwa gari. Mita 30 kwa 30, 9 million tu
  19. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale Hii hapa Hiace kwa 7mil tu

    Bado inapiga ruti kama kawaida Ya kubadilisha seat cover tu na kuendelea na shughuli za usafirishaji. Seat capacity: 16 passengers Engine, gearbox: viko sawa Loc: mbezi mwisho Dsm 0744033555
  20. Mwita Mtu Mrefu

    Car4Sale Hii hapa Rav 4 old model. 5mil only

    Hello Jf. Hii gari inatoka kwa 5m Iko safi Full document AC tu ya kujaza Njoo kinyerezi Dar tumalize biashara. Punguza maswali kwenye comment nishaweka namba hapo chini. 0744033555
Back
Top Bottom