Search results

  1. All TRUTH

    Je nyongeza ya mshahara itasaidia kupunguza au kuzuia inflation rate?

    NAIPONGEAZA GVT KWA HILI WALILOWAZA KUONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE ILA NAPENDA KUULIZA SWALI, JE KUONGEZA HUKU MISHAHARA KUTASAIDIA KUPUNGUZA AU KUZUIA MFUMUKO WA BEI???
  2. All TRUTH

    Mshahara wa Disemba 2017

    Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
  3. All TRUTH

    Je unamjua Huyu ???

    Kama unamjua ebu tujuzane ni nani ???
  4. All TRUTH

    Ujumbe WA leo

  5. All TRUTH

    Laptop aina ya hp Probook 6460b inauzwa

    Habari wanaJF. Nina laptop ya hp Probook 6460b GB 300 naiuza Kwa bei poa tu Kama unaitaji ni PM Karibuni
  6. All TRUTH

    Neymar na Cr7 mafanikio yao

    Hongera Kwa neymer Kwa mafanikio aliyapata akiwa bado kinda ukilinganisha na cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 24 wakati cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 31
  7. All TRUTH

    Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM awe makini na maneno yake ya kudhalilisha watu

    Leo tar 23 Julai 2015 akiwa kwa kipindi chake cha asubuhi ameelezea kuwa kushindwa kwa machine za BVR kufanya kazi vizuri ni kutokana na wengi wa vijana wanakunywa viroba yaani pombe kwa sana kwa hiyo wakifika kwenye kituo cha kujiandikisha machine zinashindwa kufanya kazi. Kwa kweli...
  8. All TRUTH

    Nsaada wa jinsi ya ku streams mechi za copa america

    Habari wana jf naombeni msaada wa jinsi ya kustreams mechi za copa america kwa anayejua naomba anisaidie ili nami niweze kuona hizo mechi. Natanguliz shukran
  9. All TRUTH

    Chuo kikuu mzumbe dar ni majanga kweli kweli

    Habari wa jf leo chuo kikuu mzumbe dar kimetoa matokeo ya watu wanaochukuwa masters cha kushangaza badala ya kuweka kwenye web au hata kubandika eti wanakwambia uende kwa ofisi ya raisi wa chuo na umpe number yako na akuangalizie matokeo ndo akupe, yani kwakweli nimesikitika sana kwa chuo...
  10. All TRUTH

    Tatizo la kukosa kwenda choo kikubwa

    Habari If Jamani Mimi Leo ni siku ya tano cjapaja kwenda na sijisikii kwenda chooni kujiasaida haja kubwa. Naombeni ushauri wenu jamani nifanye mini. Maana sio kawaida yangu kukaa cku zote hizo
  11. All TRUTH

    Kwa situation kama hii, kwanini usiweze kuichukia serikali?

    Habari wana JF, Kama wiki 3 zilizopita sukari kilo ilikuwa shilingi 1800/=, huku mtaani kwetu baadaye kidogo ikawa 2000/= Tshs kwa Kg. Leo nimeenda nimenunua kwa shilingi 2,200/= duh kwa kweli nilichoka. Hivi kweli ndani ya wiki tatu tu sukari ipande hivyo, kweli kuna upendo kwa serikali?
  12. All TRUTH

    Natafuta soko la uuzaji wa nyanya na uyoga

    Habari wana JF Nina bidhaa za nyanya na Uyoga so natafuta solo LA kuhudumia nipo Dar es salaam. Ni nyanya nzuri na Uyoga ni mzuri sana. Kwa anayetaka ani PM.
  13. All TRUTH

    CCM Shinyanga yalaani kauli ya mh. James Lembeli kuwa “CCM siyo Mama yangu''

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 07.04.2014 CCM MKOA WA SHINYANGA YA LAANI KAULI YA MBUNGE WA JIMBO LA KAHAMA JAMES LEMBELI KUWA "CCM SIYO MAMA YANGU" Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga KIMELAANI vikali kauli ya Mbunge James Lembeli Mbunge wa Jimbo la Kahama aliyoitoa kwenye vyombo ya...
  14. All TRUTH

    Hivi ni kwa ninijimbo letu la arusha halitendewi haki?

    Jamani wakuu napenda kujuwa ni kwanini sisi wana arusha mjini hatuna mtetezi wetu bungeni kwa kipindi kilefu hicho? Na kwanini rufaha ya lema inachukuwa muda wote huo kupewa hukumu? Hivi serikali haijui hilo au ndo haina hela?
  15. All TRUTH

    Hivi mch mwingila unachofanya na huyo mshirika wako rose unaona vema?

    Jamani nimeangalia taarifa ya habari itv leo saa mbili nimesikitika kuona mchungaji mwingira na mshirika wake rose wanavyowatesa wanakijiji kwa kuwanyang;anya wanakijiji maeneo yao na kuwabomolea. Hivi kweli huo ni uchungaji kweli?
  16. All TRUTH

    Chanel 10 inaboa mitambo yao

    Yani toka mafuliko yatokee chanel ten inanzingua sana kwasisi tunao tumia satelite au nao wame adhilika nini? Basi walekebishe tunawaomba
  17. All TRUTH

    Kweli watz sisi bado sanaaaaaaaaa kuweza kufanya mabadiliko!

    Ivi huyu deusi na jukwaa lake la katiba kufanya maelewano na hao mapolisi na kusitisha maandamano ana maana gani? Ni vema hata asingesema na kutaja hiyo tarehe ya mandamano maana yeye ndo analeta matatizo watu sisi tulishajiandaa kwa tukio hilo.
  18. All TRUTH

    Napenda kujua kama kweli baraza la wawakilishi zanzibar lilipinga mswaada wa marekebisho ya katiba?

    Wa jf nisaidieni ili nijue kama kweli balaza la wawakirishi zanziber walipinga mswaada huo na kama ndo ivo kwanini hawa mps wanaotoka znbr wameukubari?
Back
Top Bottom