Search results

  1. Kimbioko

    Mashine ya kufunga nyasi kavu(Manual Hay Beller)

    Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions...
  2. Kimbioko

    Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji (Feedlot Experts)

    Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji mifugo (hasa wa nyama)kwa njia ya "feedlots" sijui neno sawia kwa kiswahili. Kama Kuna wadau wanazo hizo Center tusaidiane ili nijifunze jinsi ya kuanzisha na kuendesha feedlots.
  3. Kimbioko

    Stori za kidini katika movies

    Natumai wanajamvi hili wazima. Naomba mwenye kujua majina ya movies zinazolezea masuala ya matukio ya dini za Kiislam na Kikristo..mfano maisha ya Nabii Ibrahim, safari ya Wana wa Israel kutoka utumwani Misri, nk. Itapendeza hata Kama utaniwekea link niweze kufuata na kuaccess vizuri
  4. Kimbioko

    Watumiaji wa sim za OPPO

    Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Back
Top Bottom