Search results

  1. hamex

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco bagamoyo bana umeme haipiti siku haujakatika kuna nn hawasemi
  2. hamex

    Siku nikiwa na kampuni yangu

    Tehe tehe kumiriki! We huhitaji wenye vyeti kweli hutawezana nao ndugu mmiriki
  3. hamex

    Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    Madegreee ya nn kuwa na pesa watakuita wakupe udoctor kama mengiii
  4. hamex

    Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    Nyie nyie mbona mna......
  5. hamex

    Mbao zinahitajika maeneo yoyoyte dsm

    Nahitaji mbao treated 2by4 na 2by2. Ziwe na uref aa futi 20 mwenye bei nzuri ajitokeze wadau
  6. hamex

    Mwigulu Nchemba awa kivutio KJ 823 Msange Tabora

    Siku nyingine anza na namba ndo ufatie na KJ linalomaanisha kikosi cha jeshi
  7. hamex

    Makarani waislamu wa tume ya katiba wanachakachua maoni ya wakristo.

    Elimu ndogo nayo ni tatizo kwa wanaopenda kubishania mambo ya udini.
  8. hamex

    ANAPENDA SANA NIMUOE... Ingawa bado mda hujafika

    Punguza ushamba dogo hayo ni mambo ya kawaida saana
  9. hamex

    Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

    Km ni lazima kufanya mchezo huo kwann wasisubiri mtoto alale then wahamie sehem nyingne( next room to that) hao hawana nia ya kweli ya ku........
  10. hamex

    Kwa wanaume: Ushawahi ulizwa swali kama hili?

    Swali lavkawaida sena wewe mshamba lbda
  11. hamex

    Wanaokatisha ticket ndani ya train hawafaiiiii!!!!!!

    Inawezekana imepewa kampuni binafsi kama tenda! Ni kawaida ya serikali nyingi ulimwenguni kutumia mfumo wa tenda. So usione ajabu kijana
  12. hamex

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    Nimeipenda hii m4c movement for church. Kumbe ndo maana mnaoanisha uamsho na dini
  13. hamex

    Hali ya Hatari Tandika!!

    Sio mgalatia aliyekojolea ni kafiri mmoja
  14. hamex

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Kichwa kimoja kinatikisa nchi kweli jamaa anatisha
  15. hamex

    NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Kila kona mkizidiwa mnaleta mada za udini jaman tumesoma na tuna vigezo na uchapakazi wa hali ya juu, achani mambo yenu tuijenge TZ bora nyie vip bana?
  16. hamex

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    Mimi ni mtanganyika halisi, na nimeish unguja na pemba, jamaa ni wabaguzi saaana, km vipi wajitenge tu kwani hii ndoa aina gani mke analalamika kila leo? (ni kawaida ya wanawake kulalamika midume huwa ni uamzi na uvumilivu) km vip tupige wao chini bana wabaguzi walee na ni wavivu mnooo kwa...
Back
Top Bottom