Search results

  1. A

    Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba. Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae...
  2. A

    HAYA PLAY BOYS WOTE TUKUTANE HAPA TUKUMBUSHANE SIFA ZETU

    Habari wana jukwaa. Leo nimeamua kushusha uzi kwa wale play boy wote tujuane kwa sifa zetu mi naanza na zangu kama ifuatavyo 1.naeza fanya chochote ili nimpate dem 2.nikishamtumia tu hata cm yake sipokei au ntakucheki badae zinakua nyingi 3.hua napg kila sample mzuri mbaya wote wangu 4.kwa...
  3. A

    Pendekezo la documentary kutoka kwa AliKiba: Wasanii wa Bongomovie ‘watawezana’?

    Habari wanajukwaa, Leo katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) ndugu John Joseph Pombe Magufuli kulikuwepo na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa bongo fleva akiwemo ndgu Ali Swalehe Kiba almaarufu kama Ali Kiba. Wakati akiendelea na...
  4. A

    Haya wale wasikilizaji wa radio enzi hizo tukatane hapa tukumbushane baadhi ya vipindi

    Habari wana jukwaa.Leo nimeamua kulipanda jukwaa kwa kueleza na kukumbusha mengi wakati radio zikiwa zinavuma sana na nafahamu wengi tulikuwa wasikilizaji wazuri sana wa vipindi mbalimbali vya radio. Binafsi mimi mi nililua mrahibu sana wa kusikiliza radio hilo lilipelekea baba yangu mzazi kuwa...
Back
Top Bottom