Search results

  1. A

    NADHARIA Mwanamke kuwa katika Hedhi inasababisha kunyauka kwa mboga na matunda

    Mbona ni kweli shida hawa wanasayansi wanapingana na asili ko nilazima wakanushe tu wakikubali tayari inakuwa siyo sayansi tena m nmeshashuhudia mara kibao tu mbona
  2. A

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Bro Sasa Mbona unatutia Shaka Wana Mancity[emoji16][emoji16]
  3. A

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Dah itabidi nijitose tu[emoji39][emoji39][emoji39] dadeq
  4. A

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Nilale Sasa [emoji16][emoji16]
  5. A

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Anapelekaga na TL anakamata wengi[emoji16][emoji16]
  6. A

    Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    N Nko naish kwangu na Nina kaz yangu nafanya shida mzee analaumu kwamba binti anatoka kwenye ukoo wa kichawi
  7. A

    Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba. Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae...
  8. A

    PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

    Pisi ya kwenda kabsa hii
  9. A

    Mjue Mungu wa Freemasonry

    acha nijaribu kuamini
  10. A

    Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    kila mwananchi ana haki ya kupata maendeleo ila viongozi wengine hawawapi watu hiyo haki ila magu alijaribu
  11. A

    Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

    najenga numba ya tope juu naezeka bati mamake🤣🤣🤣🤣
  12. A

    Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

    hii jamii forum ya sasa sio ya enzi zile
  13. A

    Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

    hii jamii forum ya sasa sio ya enzi zile
  14. A

    Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    sahivi tu au na na wewe unaaka kuwa kama the bold
  15. A

    Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    dah aljazeera ITV wametukatia walikua wameanza kumwaga unga
  16. A

    HAYA PLAY BOYS WOTE TUKUTANE HAPA TUKUMBUSHANE SIFA ZETU

    kuna wengine mnazidi madem watatu
  17. A

    HAYA PLAY BOYS WOTE TUKUTANE HAPA TUKUMBUSHANE SIFA ZETU

    Habari wana jukwaa. Leo nimeamua kushusha uzi kwa wale play boy wote tujuane kwa sifa zetu mi naanza na zangu kama ifuatavyo 1.naeza fanya chochote ili nimpate dem 2.nikishamtumia tu hata cm yake sipokei au ntakucheki badae zinakua nyingi 3.hua napg kila sample mzuri mbaya wote wangu 4.kwa...
  18. A

    Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

    Bora na hao wanapigwa kuna wengine wanalala nje eti kisa shule inakarabatiwa na mvua hizi wanapata tabu kweli TARIME SEC SCHOOL
  19. A

    Pendekezo la documentary kutoka kwa AliKiba: Wasanii wa Bongomovie ‘watawezana’?

    Habari wanajukwaa, Leo katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) ndugu John Joseph Pombe Magufuli kulikuwepo na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa bongo fleva akiwemo ndgu Ali Swalehe Kiba almaarufu kama Ali Kiba. Wakati akiendelea na...
Back
Top Bottom