Search results

  1. yode

    Uhonzolomo wa maghufuli na balozi Mrango

    watu mna mambo mtu asifanye jema. uliopost jambo hili una data??/
  2. yode

    Mkutano wa Nne (4 ) wa Ngazi ya Juu Kuhusu Masuala ya Misaada

    Hii ni nafasi nzuri kwa Tanzania kupeleka kilio chetu hususani kile cha kupewa masharti juu ya kupewa misaada kwa kufuata vigezo ambavyo vinakwenda kinyume na mila na desturi mfano alivyoongea David Cameroon juzi {Eti kuruhusu ndoa ya jinsia moja::(((} ndio upewe msaada. Nani atathubutu upuuzi...
  3. yode

    Mkutano wa Nne (4 ) wa Ngazi ya Juu Kuhusu Masuala ya Misaada

    Ni Mkutano unaotambulika kwa Kiingereza The High Level Forum On Aid Effectiveness (BUSAN HLF 4) utakaofanyika katika jiji la Busan- South Korea. Mkutano huu unatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki zaidi ya 3000 ambao ni government officials, civil societies, parliamentarians, business groups...
  4. yode

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Kwa kweli hawa Mafia wafie mbali. Katika Jina la Yesu naomba uponyaji wa Dk. Mwakyembe. Mungu ukamfunike kwa Damu ya Yesu.Tunamuhitaji kwa ajili ya kukomboa wanawako wanaoangamia na serikali za UJASUSI. Sote tuseme. AMEN!
Back
Top Bottom