Search results

  1. B

    Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

    Kwani mmeambiwa hateui mawaziri? Vihelehele vya nini? Nyie ndo mmepewa kuongoza nchi? Mwache ajiridhishe na anachokitaka. Mnataka afanye haraka ili iwe nini.
  2. B

    Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

    Watanzania si wajinga hata kidogo isipokuwa wanapenda amani sana. Wanajua fika bila amani hakuna kitakachofanyika kwa mtu mmoja mmoja na kwa Taifa zima. Hata hiyo HAKI inayopigiwa debe na CDM (haki ipo ila wanapotosha) haiwezi kupatikana bila amani. Kuhamasisha watu kufanya vurugu, kudhamiria...
  3. B

    Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Elisa Mungure ashambuliwa kwa mapanga akimbizwa hospitali

    CDM mlichoma ofisi zenu, mkamuua Chacha Wangwe, nk, mtashindwa kutengeneza uhuni huo?
  4. B

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Usihukumu bila kufanya utafiti. Habari hii haina uhalisia.
  5. B

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Wewe peke na familiar yako ndo mtaingia mtaani. Kisa cha kuumia nini. Utavunjwa miguu wewe, anayekutuma kuandamana kesho anashikana mikono na mpinzani wake.
  6. B

    Uchaguzi 2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    Hizo ni ndoto za mchana kufikiria LISSU atashinda. Nani ampigie kura mwendawazimu.
  7. B

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

    1. Huko nyuma mazuio yalikuwepo lkn sheria hazikufuatwa. Serikali ya JPM imeamua kutekeleza sheria hiyo ili ilete maendeleo yaliyokusudiwa. 2. Waliopo jela kwa kubambikwa kama wapo ni makosa. Sheria zipo you can prove beyond doubt that someone has been wrongly held in custody. Then follow the...
  8. B

    Uchaguzi 2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    Mtoa mada ameeleza vizuri athari za kuweka mgombea kwenye uchaguzi huu. Labda urudie kuisoma uielewe.
  9. B

    Uchaguzi 2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    Ndg yangu nataka nichangie kwenye pointing ya 4 tu. Mtoa mada hakusema vyama vya upinzani visishiriki uchaguzi huu. Alisema wasingeweka mgombea kwenye nafasi ya rais tu. Maanake nafasi nyingine za ubunge na udiwani waweke. Kuhusu kuangalia kura za rais kutoa wabunge wa viti maalum, huku ndo...
  10. B

    Zanzibar 2020 Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

    Hao ni ACT Wazalendo wenyewe. Hata CHADEMA walichoma ofisi yao usiku wakasingizia CCM. Waliofanya uhalifu huo Walipokamatwa wakakutwa ni CHADEMA. Viongozi wa CHADEMA wako kimya hadi leo.
  11. B

    Zanzibar 2020 Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

    Watu mnaoanza kuoneshana vidole ktk machafuko haya haifai. Hakuna anayeweza kujua kwa hakika kama ni CCM au ACT Wazalendo au mshenzi mmoja tu hana hata Chama amepewa pesa kulianzisha. Wapeni muda vyombo vya dola vimtafute. Akipatikana atasema yote. Ilipochomwa moto ofisi ya CHADEMA Arusha, watu...
  12. B

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

    Ndg yangu naomba nikujibu moja tu ambalo wapinzani mnalipigia kelele kila siku. Suala la Democrasia. JPM ameminya democracy kivipi? Nakusihi usimezeshwe sumu. JPM aliruhusu vyama vya upinzanj vifanye mikutano kila mtu kwenye jimbo lake. Hiyo siyo democracy? Au democracy ni kuandamana nchi nzima...
  13. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Go east or west, north or south, next President of United Republic of Tanzania is Dr John Pombe MAGUFULI.
  14. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Hadanganyiki mtu hapa, nyie ni CHADEMA tu. CCM haina triki za kijinga kama hizi.
  15. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Inyeshe mvua, liwake jua, Rais ni MAGUFULI.
  16. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    MAGUFULI anamzidi LISSU mara mamilioni (millions times).
  17. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wafuatilie tu. Huo ndo uongo wa CHADEMA. Hakuna cha the Hague Rais ni MAGUFULI
  18. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    LISSU hana sifa hata moja ya kuongoza Tanzania. Watu waliolewa amani tu ndo wanaweza kumchagua.
  19. B

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Lissu anapenda kumnukuu Baba wa Taifa kwenye suala la watu na maendeleo. Baba wa Taifa huyo huyo alisema pia kwamba "Nchi haiongozwi kwa majaribio. Tukiwapa CHADEMA kuongoza nchi dunia itatushangaa. Dunia itaona Watanzania wamelewa amani".
Back
Top Bottom