Search results

  1. Molleli

    Ifike mahala SIMBA NA YANGA muhame nyumbani kwa wazazi mkajenge VIWANJA VYENU LOL!!!!

    Apa Tanzania sijui tuna pepo gani Ivi ni kweli vilabu vikubwa kama simba na yanga wanashindwa kumiliki hata uwanja kama wa Azam jamani hiii mbona ni haibu Sana Watanzania.... Kazi ni kuongea maneno tu mitandaoni!!!!
  2. Molleli

    Ni mnyama gani huyu jamani?

    Wanavodai eti ni kibwengo!!! Na anaeelewa sifa za kibwengo anifafanulie please!! Kwa mimi nimeona ni kama editing tu za wananzengo.
  3. Molleli

    Hii kauli ya kusema wa Tanzania tuthamini vya kwetu!? Ni vya kwetu Vipi hivyo tunavopaswa kuvithamini?

    Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani? Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya kuthamini vya kwetu ni kukosa kazi ya kufanya na kuashiria uvivu.
  4. Molleli

    TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  5. Molleli

    Amos Makalla katika harakati za kukomesha biashara ya ukahaba Dar es Salam

    Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba. Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu...
  6. Molleli

    Hivi pantoni ni Meli au si meli?

    Kwa wanaojua ningependa kufafanuliwa kuhusu hii Mada maana tumebishana Sana na Wana mbeya wenzangu ambao hata pantoni hatujawahi kupanda🤣🤣 kwa upande wangu niliwajibu kuwa pantoni ni Meli basi kila mtu akawa anasema lake..... Ufafanuzi kwa wanaofahamu pantoni ni nini jamani nipate...
  7. Molleli

    #COVID19 Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  8. Molleli

    Uchaguzi 2020 Baada ya kumuhifadhi marehemu katika nyumba yake ya milele ndipo balozi akasimama kutangaza Jambo ambalo alidai kuwa limetoka kwa wakubwa!!

    Salaaaaam, juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji fulani mkoani Mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai Rais atakuepo hapa Mbeya tarehe 30 September kwa hiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja...
  9. Molleli

    Uchaguzi 2020 Ningependa kuona wananchi tunapewa nafasi za kuwauliza maswali wagombea urais kwenye kampeni zao

    Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
Back
Top Bottom