Kwako mpenzi,
Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako.
Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi pakuweza kufikisha ujumbe wangu kwako kwa gharama ndogo.
Ahsante
Jina la wimbo: I called you so many...
Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
Hongera waziri wa nishati Mh. January Makamba kwa kuanza kuifufua sekta ya gesi asilia Tanzania.
Kwani tumeanza kuona jitihada zako za kuirudisha kwenye mstari sekta hii. Umeanza kufanya mazungumzo active na wadau wa mradi wa LNG. Kwa hizi hatua ulizoanza kuzichukua mapema hii tunategemea kuona...
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda.
Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute...
Kwako Mhe. Rais wa JMT, MHE. SAMIA SULUHU.
Ombi langu ni kwenye hizi nafasi za kazi za ualimu zinazotangazwa.
Kwakua nafasi zinazotangazwa nichache na wanao omba ni wengi ninakuomba ili kuondoa lawama ni vyema wanaotuma maombi ya kazi waanze kufanya usaili wa kuandika.
Utungwe mtihani kisha...
Habari za leo ndugu zangu,
Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu.
Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions)...
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.
Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
Vituo vyetu vya LPG vina tenki kubwa la LPG, kitoleo cha LPG, pampu ya LPG, Kifaa cha Kugundua uvujaji na mita. Mita inafanya kazi ya kupima gesi inayojazwa kwenye mtungi au gari moja kwa moja. Bei LPG itapangwa kutokana jinsi mita ilivyosoma.
Hivyo vituo vipo seti kamili. Vituo hivi vinajaza...
Tuacheni dharau kila mmoja ni mtaalam kwenye professional aliyosomea.
Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili mambo yanayohusu sheria. Lazima mtu wa sheria ataonekana bora zaidi kuliko wa biology hata kama wa biology ni prof. Hivyo...
Watu hawa ni adui wa uchumi wetu tusiwape nafasi
1. Mijitu inayojipenyeza kwenye ajira kwa kutumia vyeti feki ili ipate mshahara ambao ndio kodi zetu
2. Mijitu inayoiba twiga na tembo wetu kisha kwenda kuuza na kujipatia fedha.
3. Mijitu inayouza madawa ya kulevya na kujipatia fedha.
4...
Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua
1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua?
2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua?
3. Je kufanya kazi za udhalishaji mali kwa bidii kwa, masaa mengi kunafanya uchumi kukua?
Lete jibu hapa na...
Habari za Leo wakuu,
Najua huku kuna wenzangu tuliopitia hiki chuo kikongwe Tanzania kiitwacho Yohana University.
Hebu njooni tusemezane tujikumbusheni kidogo maisha ya campus.
Prof. gani alikuzingua sana kwenye kozi work.
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.
Mimi naanza na hawa wawili
1. JAMES MATARAGIO
2. JACKSON DULLE
Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa.
Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya...
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.
Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha...
Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho.
Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana.
Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri.
Hubirini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.