Wakuu ilikuwa siku nyingi nikijiuliza hivi hawa watu wanaojiita wazee kama sio viraza wanaongozwa na nani, kumbe mwizi na mtuhumiwa ufisadi ile sakata la sukari na sasa insu nzima ya UDA ndugu Iddi Simba sasa ndie anasimama nakuanza kuwahukumu madactari wetu wazalendo, kwahili siungi mkono...
Huyu jamaa mzinzi sana, kilijikunja kutoa ile kitu, basi kilicho fuata ni kukoroma, na kahaba hakufanya kosa kasepa na mamilioni, angekuwa mwizi kitu cha kwanza ingekuwa kuchukua hizo siraha kwanza, hata sura inaonesha kuwa jamaa anaweza kuwa jambazi au na ushirikiano nao
Ndugu angu, unacho kisema ni sawa kabisa, lakini kumbuka wengi wameingia madarakani kama rais wa Senegal lakini wakaibadilisha hiyo katiba na sasa wameufanya kama mali zao. Binafis hadi sasa sielewi LOWASA anamalengo gani na huo uraisi, yaani haiingii akilini mutu kakalia kupanga mipango ya...
Mleta taarifa mnafiki sana mbona watuletea habari za kipuuzi, na umeianzia katikati anza mwanzo, na kijana hajagawa pesa kama magamba,unless kajipange upya
Du! nimeipenda sana hiyo, kumbe Tambwe hizza naye mtu yupo bado, mbona hajawashauri ccm waache kuwapokonya wachimbaji wadogo sehemu zao huko Nzega, ila mimi nahisi huyu jamaa,japo ni dr.kuna mbegu ya Tambwe hizza ilitumika
Haka kajamaa kanazululam sana inabidi karudi dar mapema, kuanzia Tanga,Ruvuma, Pwani, Rukwa, Katavi, nasasa Mbeya,inakera na bado hajatatua hata tatizo moja pamoja na ziara hizi zote
WEWE NI MB...........................U.............................Z.................................I.angea point na si razima upost kama huna la kutujuza, we tulia soma point za wenzio, kuku wewe,nitakuoereka maswa ukalime pamba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.