Search results

  1. A

    Lema: "Serikali inaonewa"

    Mh. Lema! ccm hawata zielewa falsafa nzito kama hizi! cha kufanya tuindoe madarakan tuwafundishe kwa vitendo. viva lema
  2. A

    TUNDU LISU:Muungano wa Tanganyika na Z'bar ULISHAVUNJIKA!

    Rais mpya gani anaongelea vitu muhimu kishabiki? Lissu yupo sawa sana.
  3. A

    TUNDU LISU:Muungano wa Tanganyika na Z'bar ULISHAVUNJIKA!

    Upo chooni? tumbo linakusumbua?
  4. A

    JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

    Lipa Umeme Kama Unavyotumia Vibaya! (Lukuvi)ndo huyu jamaa yani yupo limited ile mbaya hawezi kamwe kujua zaidi ya anavyo vijua. Mh Tundu usimpime jamaa ni unlimited.
  5. A

    Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

    Huyu jamaa(Majidai) aseme tu alikua anajifanyia promo humu jukwaani hana lolote lingine.humu wateja hupati. Mambo ya nyota humu hayana nafasi hili sio jukwaa lake humu ni kwa ma great thinkers! sio wanajim.
  6. A

    Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

    Sasa nimekuelewa! kumbe we sio mkristo? ok ndo maana umeweka uzi huu! sisemi kwa ubaya ila hakuna mkristo angefanya hivi! watu wawezao haya ni wanajimu na watu wasio amini kuhusu Ukristo. sasa hata nikikuelewesha vipi huto elewa kwakua unatumia ufahamu kuuelewa ukristo. ila kwa hakika pale akili...
  7. A

    Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

    Narudia tena acha uchawi! hata kama hujaanza kuloga ila una elements za kichawi ndani yako na ndo maana imekuwa rahisi kwako kuyahusisha mafanikio ya late Arch Bishop na mambo ya nyota badala ya kuyahusisha na uweza wa kiMungu. kama nilivyosema mamajusi hawakua watumishi wa Mungu! nikama yule...
  8. A

    Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

    Acha uchawi wako! mpunga nyota wewe! askofu hakuongoza kanisa kinajimu bali kwa nguvu za Roho mtakatifu. koma tabia hii. katika Jina lipitalo majina yote la Yesu kristo wa Nazereti.
  9. A

    Kumbe askofu kulola alikuwa mapacha?

    Acha uchawi wako! mpunga nyota wewe! askofu hakuongoza kanisa kinajimu bali kwa nguvu za Roho mtakatifu. koma tabia hii. katika Jina lipitalo majina yote la Yesu kristo wa Nazereti.
  10. A

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Tukizoea hali hii unadhani itakuaje?
  11. A

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    Lowassa umejifunua uchi wako nilikuamini kama mwanaume kumbe mwoga sana wewe mamvi unampiga mtoto? Tena mmeru mwezio? Unataka urais ili utuuwe? Hasira za nini kakupiga arumeru wewe na mkweo na hapo ungepigwa tena.
  12. A

    Baada ya miaka 29 Mtoto wa Sokoine ataka mwili wa baba yake uchunguzwe.

    Ops! Poor Soloine! Sikuwepo enzi za utawala wako ila wewe ni kipenzi changu hasa! Historia inaonesha kuna kipindi uliachia madaraka kwenda masomoni na uliporejea ukapitiliza Monduli kufuga kwa lengo la kuwakimbia wabaya wako ambao kimsingi ni maadui wa Taifa. Wakakurudisha madarakani kwa...
  13. A

    Polisi kwenye mkakati MZITO kubambika kesi nyingine ya ugaidi Mtwara, gazeti la kesho kutumika

    Waacheni wafanye wapendavyo watanzania wa sasa hawaburutwi tena na propaganda za kijinga kama hizo. Ukitaka kujua watanzania wamerevuka kuliko siri kali utaona mwaka huu badala ya wanafunzi kurisiti necta ndo wamerisiti ujinga umeamia huko na ujinga ni adui mkubwa lazima tumpige!
  14. A

    Mtoto wa mjini Ndiye Mshamba wa mwisho mjini

    Jamaa sijui anawaza nini? Ukizaliwa mjini form six? Labda div zero! Mi nimezaliwa mjini ila wajanja wametoka vijijini wamevijenga viwanja vyote tulivyo kuwa tinacheza mch ezo wa kujificha. Nyie kuleni unga usiofaa kwa ugali ndo form six yenu.
  15. A

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Sina uhakika kama ni waislam wamefanya hili na kama ni waislam pia sina uhakika kama wanafanya kwa niaba ya waislam wengine na uislam ila nina uhakika kwa yeyote anaye fanya vita hivi hafanyi vita na mwanadamu maana vita si vyetu bali ni vya Bwana wa vita Mungu wa miungu nila lake...
  16. A

    Godbless Lema live Channel Ten

    Ni watanzania wasiozidi watano tu ndo wanaokukia Lema wetu Ila mbingu inaona fahari juu yako.
  17. A

    Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

    Jamani dunia imeisha watumwa wanaongea hawa? acheni royal families waitawale Tanganyinga yao mkoje? Mara zote mnaambiwa nyie ni wananchi wa KAWAIDA,
  18. A

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Kwanini mtumwa anadiriki kuhoji mambo yanayo mhusu bwana wake? Jamani hao ndo wenye Tanganyika! Na ndio waliokua watawala wetu wa jadi katika maeneo yetu. Mwalimu alichokifanya Tabora pale sokoni palipojengwa mnara ni kuwaelezea namna mpya ya kutumia katika kuwatawala waTanganyika. Kwamba...
  19. A

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Huna hoja zilizo na utetezi yakini we Banda tu! tena Banda la uani unajitia mzalendo kumbe mind corrumpted! i hate what u say not u personally! kama utabadilika utakua mtu mwema.
  20. A

    Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

    Hivi ni kweli alizini? sina uhakika! mbona kama hana uhakika kama ni mwanaume mpaka ajipigie debe? oooh poor Nchemba! akili chembe!
Back
Top Bottom