Search results

  1. 2

    Nahitaji Kompyuta kwa bajeti ya Tsh 250,000-350,000

    Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana. Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705) Location nilipo ni...
  2. 2

    Apple imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya soko ya dola trilioni tatu

    Siipendi iphone, siipendi kwasababu inamaliza chaji na gharama zake zipo juu, habari ya mjini ni oppo sasahivi
  3. 2

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    na mimi pia naomba link
  4. 2

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    mungu wangu sipo
  5. 2

    Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    ndio maana nataka kujua mkuu.
  6. 2

    Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    google iyo kampuni haina website mkuu.
  7. 2

    Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    sijajua mkuu, maana ata website hawana kabisa kiongozi
  8. 2

    Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    nipe A-B-C mkuu kama unaijua..
  9. 2

    Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
  10. 2

    Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    mkuu mbona naskia watu wanapiga kazi sasaivi uko
  11. 2

    Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
  12. 2

    Vodacom wahama kutoka kwa Master Card to Visa Card

    kivipi mkuu ebu elezea vizuri
  13. 2

    Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    ungesema na maeneo ilipo iyo nyumba au ipo posta karibu na ikulu?
  14. 2

    Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

    Mamaeeeeeeeeee... nimecheka sana, uyo hawezi rudia kutukana mtaa huo
Back
Top Bottom