Search results

  1. Reykijaviki

    Rais Samia Suluhu apandisha vyeo makamishna watatu Uhamiaji

    Mama anaendelea kutoa shavu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, huko uhamiaji mambo ni moto.
  2. Reykijaviki

    Watumishi wa umma kwisha habari yenu

    Kufuatia kuchaguliwa kwa katibu Mkuu kiongozi Dr Bashiru ni wazi sasa watumishi wa umma hamna mtetezi tofauti na alivyokuwa kijazi. Huyu bwana ni mtu wa ndio Mzee sasa wakuu wa tasisi za serikali mjiandae kutumbuliwa maana transfoma pozo(Kijazi) imeondoka sasa imeingia transfoma...
  3. Reykijaviki

    Uchaguzi 2020 CCM kilikuwa chama pendwa ila kwa sasa naona wengi wamekuwa na wasiwasi nacho

    Wanabodi kuna watu walazimisha ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli, Lakini wanasema hata vitabu vya dini vinasema mahali popote ulipo ukweli ndipo nuru ilipo. Sasa nauliza hivi kuna watu bado wanaamini kabisa Chama cha Mapinduzi kinapendwa? Kinachopendwa sasa hivi ni kulinda matumbo yao mfano...
Back
Top Bottom