Mkuu mbona unarudia swali.
1. Airtel hawana post paid. wana Sme.
unajiunga mwenyewe baada ya kuingia kwenye mfumo.
2. Tigo wana postpaid( malipo baada).
Ukiwa na wasiwasi, piga huduma kwa wateja Airtel/Tigo kwa uhakika zaidi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.