Tofauti na zamani watu walikuwa wanaheshimu sana misiba kila anaekwenda msibani lengo ni kutoa heshima za mwisho za marehemu na kumzika.
Tofauti na sasa misiba siku hizi watu wameigeuza kuwa vijiwe vya umbea na majungu. Unakuta mtu anaenda msibani lengo ni kupeleka umbea au kusikisikia umbea...
Nimejaribu kuutafakari huu utamaduni wa ndugu zetu wahindi linapofika swala la ndoa familia ya mwanamke ndo inawajibika kulipa mahali kwa familia ya wanaume .
Ukituzama kwa mbali hawa ndugu zetu waliona mbali sana sababu walijua kijana wao akioa basi ameowa familia sahihi sio zile familia zenye...
Wakati wazazi wao wako bize na kusoma na kutengeneza maisha ya kizazi chao cha badae sisi wazazi wetu wako bize na starehe na kula Bata.
Wakati wazazi shuleni walikuwa wanazingatia masomo sisi wazazi wetu walikuwa kila siku wako chimbo .
Wakati wazazi wao kila wakipata pesa wanawekeza kwa...
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda wanavyofanya kazi wanaishia kulipwa mishahara ya laki 3 mpaka laki 5 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo ahudumie familia mke na watoto bado hapo ndugu asaidie
Jioni vijana wanataka wale starehe, mwisho kijana...
Sijajua sababu haswa nini ila nimegundua vijana wengi wa kimasikini, waliokwama kimaisha , hawana issue ya kufanya stori nyingi wanazojadili ni umbea na udaku kuhusu maisha ya watu yaani unaweza kukuta tangu asubuhi hadi jioni wapo kijiweni wanajadili maisha ya watu na kushare Habari umbea na...
Kwa wale vijana wa miaka waliosoma miaka 80,90 na 2000 mwanzoni mtakuwa mnakumbuka
Swala la elimu lilivyopewa kipaumbele
1.Nakumbuka kufaulu toka la saba kwenda kidato cha kwanza vijana walikuwa wanapambana kufaulu kwenda shule serikali
Vijana akifeli anarudia afaulu
2.kufaulu kwenda...
Hii code ni ngumu kumeza na wazee wachache sana wanaoweza kuwapa elimu hii vijana wao kiume kabla ya kuingia katika maisha ya ndoa.
Ila ukweli ni kwamba kijana yeyote unapooa tambua ya kwanza umemkaribisha adui kwenye maisha yako ambaye atakuja kuangamiza maisha yako sasa twende point ni jinsi...
Ushawahi kujiuliza kwanini kuna watu miaka nenda rudi wako vile vile hawabadiliki na hata ufanyeje wako unajua tatizo ni nini?
Jibu ni moja ni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu yaani kupenda kuonekana wewe ni wa umuhimu?
Sasa basi ukweli ni kwamba umuhimu wa wako huonekana pale mtu...
Nasema hivi kama una rafiki ,ndugu au jamaa wako wa karibu ambaye hukukumbuka na kukutafuta kipindi akiwa na shida tambua ya kwanza huyo ndo adui wako wa kwanza wa maisha yako.
Watu namna hii hutumia madhaifu yako kukumiza na kukukandamiza ili mradi mambo yaweze kwenda ili kutimiza...
Majukumu ni kutengeneza machine za EFD zilizoharibika
Ku update machine
Kutoa z short na monthly report
Kutoa report ya daily na monthly
Kun unblock na kublock machine za efd machine
Ku cancel wrong amount
Kutengeneza machine za Efd zilizoharibika
Elimu yeyote awe na fani yeyote plus na...
Hakuna kipindi ambacho siasa za vyama vingi zilikuwa zimepambana moto kama enzi za JK na Mkapa.
Kila nikikumbuka enzi za Ukawa, CuF ipo moto, NCCR mageuzi ipo moto, Chadema ipo moto, CCM nayo ipo moto mashabiki wa vyama wako moto, mijadala ya kisiasa, wanasiasa ilikuwa sio mchezo.
Lakini sio...
Japo sio wazee wote ila asilimia kubwa wazee wengi wakishatoka ndani ya sytem na kustaafu
Hujawa mioyo ya chuki, fitina na majungu na mara nyingi hupenda kujua hapa mjini mtu unajishughulisha na na nini na hata wakijua utasikia mara ohoo anauza madawa ya kulevya, mara ohoo huyu dogo mwizi...
Moja kati ya maswali huwa ninajiuliza ni kwanini baadhi ya watu huwa tunakumbukwa tuu na baadhi ya watu wetu wa karibu kipindi wakiwa na shida na matatizo.
Lakini je ni kwanini watu hawa hututafuta kipindi kwanini watu hawa hututafuta wakiwa na shida?
Je, sisi ni wathamani kwao na kama sisi ni...
Japo sio wote ila asilimia kubwa ya watu waliofanikiwa na kupiga hatua huwa hawapendagi kuona watu wao wa karibu kufanikiwa......
Siku zote watu waliofanikiwa ukiwa haujafanikiwa hawapendi ukaribu na wewe sababu ya kukwepa vitu kama vizinga na kusikia shida na matatizo,kuombwa omba hela, toka...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali
Siku zote watu waliokuzoea na wanaokujua vizuli
Ukibadilisha mfumo wa maisha kuanza kuwa bize na maisha yako ghafla unaaza kuchukiwa na unajikuta unajitengezea maadui pasibo sababu.
Tatizo huwa ni nini?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Siku ya leo nataka kuzungumza na wale vijana wenzangu ambao ni jobless lakini mkoo nyumbani hamna mishe yeyote mnayofanya huku mkitegemea kuna ndugu au jamaa alikuahidi ya kwamba.
Atakufanyia mpango upate kazi kampuni flani au serikalini au kuna hela atakufanyia mpango akupatie ukupe mtaji...
Inavyosemekana wanaume wengi walio ndani ya ndoa hawavutiwiii na wake zao.
Pia wajuzi wa mambo wametafiti na kugundua wanaume walio ndani ya ndoa huvutiwa sana wanawake wanaojiuza,Maa baa medi , wadangaji lakini pia wake za watu pia imekuwa kivutio cha wanaume walio wengi ndani ya ndoa
Je...
Mazoea ni mazuli lakini pia ni mabaya kutokana aina flani ya watu unaokutana nao.
Sasa aina flani ya watu baada ya kuwasoma umegundua hawa watu wakikuzoea tuu watakuja kukupa shida .
Sasa leo hii hebu tupeane mbinu za kijasusi jinsi Gani unaweza kukwepa mazoea na watu ambao unajua kabisa...
Licha ya watu wengi kuwaibia hawa jamaa huwa ni watu ambao hawapendi kujihusisha na masuala ya Polisi , Mahakamani na Serikaliiii
Yaani wapo tayari kumpotezea au kumsamehe mtuhumiwa aliyewapiga hela au Mali kuliko kujiingiza katika maswala ya kipolisi , mahakamani kuangaika na mtuhumiwa .
Je...
Kama mnavyojua eneo la kazi ni eneo lenye changamoto nyingi kama vile umbea,kupigwa majungu, kupakaziwa kesi,unafiki na fitina makazini.
Pia bila kusahau kazini kuna masinitch , waongo , n.k
Hebu leo hii tupeane mbinu ya kukabiliana na hiya mambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.