Search results

  1. M

    Anahitajika MwanaCCM mmoja mfano wa Lowassa abadilishe hali ya mchezo. Siasa zimepoa sana

    Kwa kweli hali kisiasa nchini imepoa sana hadi inaboa kabisa. Ndio maana hata watu wengi hawajui nini kinaendelea kwenye siasa za nchi hii. Huwezi amini eti kwasasa bunge linaendelea hakuna anayefuatilia. Hali ikiendelea hivi inawanufaisha wasiofaa kuongoza nchi hii. Anahitajika MwanaCCM mmoja...
  2. M

    Rais wa Peru asachiwa nyumbani kwake na polisi kisa kuvaa saa ya thamani

    Rais wa Peru ambaye ni mwanamama amesachiwa na kushtakiwa mahakamani kwa madai ya kuvaa vitu vya thamani ikiwemo saa ili kujua amenunuaje. My take hapa kwetu skendo ya saa iliisha kimya kimya https://youtu.be/xc6ms9CjYNk?si=CfxRMdBI2TuSfQNQ
  3. M

    Najiuliza Je, interview ya Mabeyo leo ilikuwa na ulazima wowote?

    Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati? Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
  4. M

    Lengo la Mbowe ni kuifikisha CHADEMA 2025 ikiwa dhaifu

    Bila shaka Mbowe yuko kwenye mpango mkakati wa Mama Samia. Matendo yake ni dhahiri. Mbowe atakuja na program za geresha na atang'ang'ania Uenyekiti ili come 2025 CHADEMA iwe haina Agenda wala dira kumpa unafuu Mama. Si ajabu hata akasusia na chaguzi zenyewe
  5. M

    Mazishi ya Lowassa yanahitaji hotuba kama ya Malema kwa Winnie Mandela

    Hotuba ya Julius Malema kwenye msiba wa Winnie Mandela ilihitajika sana kwenye siku ya kumuaga Lowassa na ingependeza itolewe na mtu kama Tundu Lissu. Msiba huu umedogoshwa ulipaswa kuwa mkubwa sana Angalia hotuba ya Malema https://youtu.be/ddZdiIYqOAg?feature=shared
  6. M

    Tumuenzi Lowassa kwa kuunganisha VETA na JKT

    Katika sera zake na ahadi zake za urais 2015 Lowassa aliahidi kuwa angeunganisha VETA na JKT endapo angechaguliwa kuwa Rais. Haya yalikuwa maono makubwa naomba yaenziwe na Serikali
  7. M

    Jinsi hali inavyoenda mwaka huu hadi dawa hospitalini zitakuwa shida

    Miaka ya mwanzoni mwa 2000 kundi la mziki la wagosi wa kaya lilipata umaarufu sana kwa kuziimba kero za wananchi bila woga. Kero hizo maarufu ilikuwa ni; 1. Umeme na Maji 2. Wauguzi na Madawa 3. Trafiki n.k Kero hizi zilidumu miaka yote ya Jakaya hadi alipoingia Magufuli. Miaka hii ya Mama...
  8. M

    Kuna uwezekano Serikali ya Samia imeishiwa hela. Wakandarasi hawajalipwa ndani ya nusu ya mwaka wa Serikali

    Mwaka wa fedha 2023/2024 ulianza July 2023 na mpaka leo February 2024 ni zaidi ya nusu mwaka. Habari zilizopo ni kuwa 1. Wakandarasi walioshida zaburi na kusaini tangu September mwaka jana mpaka leo hakuna aliyelipwa hada Advance hivyo wengi wamesimamisha kazi. 2. Wakandarasi wengine wengi...
  9. M

    Nawakumbusha Tanesco kuwa muda wa kuwasha mtambo kule JNHPP umefika

    Tuliahidiwa kuwa mtambo namba utawashwa kati ya January mwishoni na February mwanzoni. Nawakubusha tu Tanesco kuwa muda wa kutimiza ahadi hii nayo ambayo ni kama ahadi ya 12 hivi kuhusiana na kuanza kupatikana kwa umeme kwenye bwawa la JNHPP nao ndio umefika. Kama kuna ahadi mpya watupe mapema...
  10. M

    Mpaka leo Upinzani haujampa Rais Samia jina baya, Watamshindaje?

    Wahenga walisema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya cha ajabu mpaka leo upinzani haujambatiza Samia jina lolote baya sio fisadi, sio dikteta yaani Mama ana enjoy tu. Je watamshindaje sasa? Wao washaitwa watoa taarifa na sio vyama. Asali ni mbaya sana
  11. M

    Je Mama Samia kufuata nyayo za Sheikh Hasina wa Bangaladesh

    Sheikh Hasina ni Rais wa Bangadesh anayewania kipindi cha nne madarakani huko Bangaladesh. Sheikh Hasina ni mwanamama hodari, mtata kwa wapinzani wake na anayependwa wananchi wa chini. Mama huyu anaongoza kwa mkono wa chuma, amefunga jela wapinzani wake wote kiasi cha waliobaki kususia uchaguzi...
  12. M

    2024 ni mwaka wa mashambulizi kwa Mama Samia

    Mwaka huu uoga, haya, staha na kila aina ya ustaarabu katika kumsema Rais Samia Suluhu utaisha na mama atamaliza mwaka huu akiwa hoi kisiasa. Mwaka huu ndio mwaka wa kila mtaka Urais kujitokeza hadharani bila woga ili kuwajengea imani wafuasi wake na wananchi kwa ujumla. Ni mwaka ambao pia sia...
  13. M

    Siasa za kuenguana zatinga Marekani. Trump out Colorado

    Jimbo la Colorado mahakama kuu jimboni humo imeamua kumuengua Trump toka kwenye kinyang'anyiro cha kura za awali jimboni humo zitakazopigwa mwakani. Jimbo hilo linaongoza kwa Democrats wengi. Trump ni Republican
  14. M

    RC Chalamila awataka wamiliki wa Bar Dar kuzuia wateja wao wasimseme vibaya Mama Samia

    Tunaelekea kwenye miaka miwili ya utawala wa kiimla ili kulazimisha Mama abaki madarakani kinguvu. Kuanza kuzuia uhuru wa kujieleza hadi sehemu za starehe ni hatari. Mwishowe mama atakuja apate mshangao kwenye sanduku la kura. Shauri yenu. Acheni watu waseme ili mjikosoe. Na kama hakubaliki...
  15. M

    Angalau Halima Mdee amemfunga paka kengele

    Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa. Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye...
  16. M

    Je, kazi maalum ya Makonda ilikuwa kumuondoa Chongolo?

    Mara baada ya kuteuliwa aliwika sanaaa! Mara ghafla baada ya Chongolo kujiuzulu Makonda amekuwa kimyaaaa! Je, 1. Alipewa kazi maalum ya kum frustrate Chongolo kisaikolojia? 2.Au na yeye alipewa onyo kwenye kikao kile kwamba apunguze spidi na wenge? 3. Au ametulia labda watampa ukatibu mkuu?
  17. M

    CCM wakati wa kuvua ni wamoja hugombana kwenye kugawana maslahi, Upinzani wanagombana wakati wa kwenda kuvua

    CCM ukifika msimu wa kuelekea uchaguzi huwa wanazika tofauti zao na kuungana ili kushinda uchaguzi. Wakati Upinzani ukikaribia uchaguzi ndipo huanza kugombana na kufarakana. Upinzani acheni uzwazwa.
  18. M

    Makonda hajawahi kuwa mfuasi wa Hayati Magufuli bali alikuwa na kazi ya kumuharibia

    Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli. Kama ilivyo ada ya CCM ukichaguliwa kuwa Rais unakuja na list yako ya viongozi na...
  19. M

    Ndege ya ATCL ya abiria 250 kubeba abiria 36 kwa gharama ya Serikali ni ufisadi

    Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dkt. Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali. Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma.
  20. M

    Makonda amepewa rushwa au ni kweli anahitajika?

    Wakati wa utawala wa JK kulikuwa na msemo mashuhuri sana ambao ilisemekana ulitolewa na Rostam Aziz kama ushauri wake kwa JK. Msemo huo ulikuwa unasema " Kwenye udhia penyeza Rupia" Kusema kweli wakati ule ulikuwa ukitaka tu cheo au fedha kwenye utawala wa JK basi tafuta skendo lipuka nayo siku...
Back
Top Bottom