Search results

  1. Prishaz

    Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu kwenye ndoa

    Jiamini, una low self-esteem
  2. Prishaz

    Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

    Zab 72:8 Na ahimidiwe Bwana Mungu, Mungu wa Israel, apewe sifa. Yeye peke yake hutenda mambo ya ajabu
  3. Prishaz

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Huu mwekundu nilishawahi kula ni very healthy una vitamin c nyingi ila hauna ladha ukilinganisha na species za Michicha mingine.
  4. Prishaz

    Paul Kagame aliwahi kusema anataka kumpiga Kikwete

    Hahaha anatulazimisha tuende kisimiri siyo....
  5. Prishaz

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Kwanza ondoa huu mtazamo wa "ndoa ngumu" kuwa positive. Pole kwa uliyopitia nakutakia kheri ndoa ni tamu Mungu akusimamie.
  6. Prishaz

    Askari mstaafu Polisi Saba Sita baada ya kuchimba kaburi sasa anunua jeneza

    Ila Sabasita jamani anaendelea kutrend mpaka uzeeni! Nakumbuka nikiwa mdogo alitrend sana enzi hizo akiwa Arusha na walipopambana na wasomali alizidi kusikika zaidi. Mungu amjalie afya njema na maisha marefu
  7. Prishaz

    Rais Samia: Tusimbeze Prof Janabi kuhusu Afya

    Hahaha dah! Jamani hapo si unamuona yuko na maji ya Kilimanjaro nimecheka sana
  8. Prishaz

    Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

    Usahihi ni kuwa kama unaenda kusoma kny taasisi ya kikristo uwe na uhakika kuwa utaendana na miiko na taratibu zao, vivyo hivyo kama mkristo ataamua kusoma taasisi za Kiislam lazima awe na uhakika kuwa ataendana na taratibu na miiko ya Kiislam.
  9. Prishaz

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Kama alijua nafasi yake kama mke hakupaswa kuiba. Alipoiba alijiibia mwenyewe na familia yake.
  10. Prishaz

    Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?

    Nadhani hili limeanza miaka ya hivi karibuni kabla ya hapo haikuwa hivyo hususan Tz.
  11. Prishaz

    Nandy aendelea kumnyoosha Diamond Platinumz

    Hey Malcom, jamani nimefurahi kukuona ulipotea sana. Naamini uko vizuri, karibu tena.
  12. Prishaz

    Natafuta soko la kuuza mikoba au mfadhili wa bidhaa zangu

    Nimependa vile uko positive utafika mbali, nakutakia kheri.
Back
Top Bottom