Search results

  1. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yes GG&2+ ina maana ip
  2. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wanangu niliwah watumia pesa after kula nisaidieni 5K ya mtaji Niko MBUPU now Najua wapo zaidi ya 30+
  3. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaa nimejichanganya nimebetia wanawake badala ya wanaume Nimetoa sadaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Kp H

    Madirisha ya ALUMINIUM USED yanauzwa

    Hapana Mkuu Ukihitaji unafata nyumbani Kuwa na amani
  5. Kp H

    Madirisha ya ALUMINIUM USED yanauzwa

    Sijakupata Mkuu
  6. Kp H

    Madirisha ya ALUMINIUM USED yanauzwa

    Pia unapatikana Kiongozi
  7. Kp H

    Madirisha ya ALUMINIUM USED yanauzwa

    Yapo Mawili Mkuu
  8. Kp H

    Madirisha ya ALUMINIUM USED yanauzwa

    Madirisha size ni 4*5 yanauzwa. Yanapatikana mbezi mwisho 150k kwa kila moja WhatsApp no 0768844904
  9. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utanitumia no nikupe ya mkeka kesho Man
  10. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaa kama Mimi Narudi nimelewa naulizwa asa mbona unarudi hivyo na huna hela Nikamwambia kijiweni unaenda huna ata 100 lkn unarudi umechakaa Muwe wapole Pia kupanga nyumba kodi yako wanategemea kula na nauli za watoto sio poa
  11. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dua Kiongozi Wale wa kimara bonyokwa tukutane PUB EN CASA Na alietuma CODE analiTEN kesho ani PM kama tutaWIN
  12. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Matokeo yake yapo vipi? Yanatia hamasa
  13. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu imebaki hiyo moja tu ya basketball, live scr siipati Nipe ramani nijiandae kutoka au nilale tu
  14. Kp H

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndiyo nimebaki nao CashOUT 9K sijui niichukue tu Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  15. Kp H

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Hahaha anafata ratiba, hivyo muda wa kutoka ulikuwa bado kama dkk 15 hivi
  16. Kp H

    Mo Scholarships 2022 (Mo Foundation)

    Kwema? Nimshukuru aliyeleta nyuzi hii na wana wote walioniombea Asanteni sana nimefanikiwa kupata ufadhili.
  17. Kp H

    Mo Scholarships 2022 (Mo Foundation)

    Nasubiri simu yao japo mwishoni nikajichanganya kdg Ata kama umepata HESLB unaweza amua kuwa MO au BODI
  18. Kp H

    Mo Scholarships 2022 (Mo Foundation)

    Kazi ipo mzee Shukran
  19. Kp H

    Mo Scholarships 2022 (Mo Foundation)

    Wana DUA zenu Wameniita kwenye interview kesho posta
Back
Top Bottom