Search results

  1. O

    Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

    Naombeni mnijuze, kuna watu nilisikia wakisema kwamba HESLB hutoa mkopo kwa kuangalia matokeo ya 4m4 je ni kweli?
  2. O

    Naombeni mnijuze, ni lini HESLB watatangaza majina ya waliopata mkopo?

    Wakuu naombeni mnijuze kwamba ni lini HESLB watatangaza majina ya waliopata mkopo kwasababu sisi watoto wa wakulima hapo ndipo jicho letu lilipo no mkopo no chuo naombeni mnijuze kwasababu chuo nishakipata!
  3. O

    Mzumbe wameniletea ujumbe huu hapa

    Nimemaliza diploma, na nimeapply vyuo viwili Mzumbe na MoCU, ila mzumbe wameniletea ujumbe huu hapa
  4. O

    Kurequest AVN

    Shida ya haraka, kwenye sehemu wanapotaka tu upload transcript ya diploma, tuna upload NINI? Na hatuna transcript??
  5. O

    Namna ya kupata AVN ili ni apply chuo

    Naombeni mnielekeze nimemaliza diploma na nahitaji kuapply chuo ila kuna sehemu inataka niweke AVN. Je, naipataje hiyo na chuo ni mbali?
  6. O

    Je, naweza kupata vyuo hivi kwa matokeo haya?

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu cha ushirika moshi diploma ya uhasibu na nimepata overall GPA ya 4.1 na nataka kuapply mzumbe, UDSM na UDOM. Je, naweza kupata kimoja wapo hapo Nina division 4 ya 27 4m 4?
Back
Top Bottom