Search results

  1. A

    Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    1. Hisense 2. Xiaomi 3. TCL 4. Skyworth 5. Haier 6. Oneplus 7. Changhong Hizo ni baadhi ya kampuni kubwa za kuaminika za kichina za Tv lakini na TUBEI TWAKE kdg TUMECHANGAMKA.
  2. A

    Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Yupo sahihi Hisense Tcl
  3. A

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    wamecover sehemu nyingi dar ila kama upo nje ya mji kdg ni vyema ukawapigia na kuwaambia location yako kisha watakujulisha huduma ambayo inakufikia.
  4. A

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    gofiber no +255677300120 tumia reference no 8565 (ila sio lazima) na mimi ntapata free net japo ya wiki
  5. A

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    unaweza kupata dstv,azam na channels karibia zote duniani kama unajua kuset stbemu/stalker portals codes. siwezi kuweka info zaidi wanangu bado wadogo.
  6. A

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    mimi natumia gofiber nalipia 75k kwa mwezi na speed ni 20mbps. movie ya 1gb nashusha chini ya dakika 10
  7. A

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Kwa anayetaka kununua perfume collection ya smart na jina linamsumbua anaweza kufanya reference hapa.
  8. A

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Kwa mujibu wa hiyo number nadhani hiyo itakuwa ni copy ya tomford black orchid. Kama ni smart collection og basi ipo vzuri
  9. A

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Kariakoo karibu na mskiti wa idrissa utapata kwa 25. Au 3 pcs kwa 60
  10. A

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Yah wanakuwa na time maalum. Ila kuna retailers wanaenda kununua kwa jumla then wao wanauza kwa faida kdg
  11. A

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Hapana sijawahi kutumia karasha za kawaida. Ila wanaotumia ndio nimewaskia kuwa wanapata tabu kdg mawe yakiwa na maji. Labda walio na experience nazo humu watatupa details
  12. A

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Nikirefer wachimbaji wadogo wengi wanashindwa kupeleka plant kufanya leaching kwa sababu ya cost kama chemicals, kumlipa mkemia na kukodi plant. Ndio maana mwisho wa siku wanaamua kuuza marudio yao. Njia rahisi ya kupata faida kutoka kwenye chemicals baada ya kujiridhisha na report ya maabara...
  13. A

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Hiyo ni aina mojawapo ya karasha kitaalamu inaitwa hammermill. Tofauti na nyingi zilizozoeleka hii inasaga mawe pamoja na maji na final product inatoa slurry (tope) ambalo linapita kwenye gunia kwa ajili ya kukamata dhahabu. Makarasha mengi yaliyozoeleka ni yale yanayotumia gololi na moja ya...
  14. A

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Vilipuzi na compressor mara nyingi huwa vinaenda sambamba. Mfano kuchoronga mwamba tundu moja bei yake average ni tsh 10,000. Ukimuwekea mtu na mlipuko ni 15,000. Hvyo kuchoronga na kulipua tundu moja inakuwa 25,000. Ila kumbuka mtu wako anayelipua lazma awe na certificate. Thats y sikushauri...
  15. A

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Unategemea na ukubwa na tank zako. Kama ni tank za wastan tani 30 each inaweza kucheza kwenye 20 mpaka 30ml
  16. A

    Orodha ya Simu 10 bora kwa camera

    Ni kweli nimeleta hii mada lakini huo uchambuzi sio wa kwangu. Nimepaste tu hapo 😁
  17. A

    Mwaka 2007 kulikuwa na Nokia toka Hungary (Ulaya), Chaji wiki moja na huku unaitumia, sasa za Wahindi na Wachina kiwango duni, Why?

    Mie nadhani issue sio simu inatoka nchi gani. Inakuwa ngumu kwa mzungu kukaa chini ku assemble simu kwa mshahara anaopewa mchina au muhindi hasa linapokuja swala la mass production. Hapo ndo kinapokuja swala la OEM. Yaani mchina au muhindi atakutengenezea kitu chako according ulivyokidesign...
  18. A

    Mwaka 2007 kulikuwa na Nokia toka Hungary (Ulaya), Chaji wiki moja na huku unaitumia, sasa za Wahindi na Wachina kiwango duni, Why?

    2021 tutaona simu ya kwanza ya harmonyOS kutoka kwa huawei. Sijui sie watumiaji wa huawei kama tutaweza ku upgrade kutoka android kwenda huko.
  19. A

    Dereva akae nyuma...!

    Hayupo asoyajua haya nnayoyasema, Vyombo vya kusafiria huenda mbele daima Nahodha twategemea awe mbele akinema Manahodha wa mashua kwa nn wakae nyuma (hapa anasema vyombo vya safari kuwa vinaenda mbele na anategemea nahodha awe huko akinema (mfano wa kunema ni kama vile watoto wa madrassa...
Back
Top Bottom