Search results

  1. XII Tz

    Naombeni fursa za biashara mikoani

    Habari wakuu Naomba fursa za kibiashara mikoani kwa mwenye kufahamu biashara gani inalipa kwa kusafirisha kutoka dar es salaam. Natanguliza shukrani Nguvu moja [emoji881]
  2. XII Tz

    Mambo 10 niliyoyaona leo Al Ahly vs Yanga

    Al ahly amekwamishwa sana na kibendera
  3. XII Tz

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Pinguza hasira mkuu [emoji23]
  4. XII Tz

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Kila la kheri mnyama leo ushindi tu [emoji881]
  5. XII Tz

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Mliomuua stars kwenye mikeka yenu nawaona tu vitumbo joto ila msijali bichwa la mwendawazimu tunalijua litazingua tu
  6. XII Tz

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Kwani huu mpira unachezwa chumbani ?
  7. XII Tz

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Yule kocha muoga sana ni maagizo ya kocha
  8. XII Tz

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Tanzania anacheza mpira mkubwa mnoo
  9. XII Tz

    Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Vipi mkuu ulifanikiwa kweli kuacha ?
  10. XII Tz

    Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

    Mwanetu karudishwa tena batani, tegemeeni kumuona tena kidimbwi na mishangazi ya dar aliimisi kinoma yani [emoji16]
  11. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Unakumbuka magoli ya kizembe aliyokuwa akifungwa manula kabla ya hayo majeruhi au unaongea tu ?
  12. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Angalia mechi za hivi karibuni amekuwa akifungwa magoli ya kizembe sana, anzia mechi na yanga kurudi nyuma akiwepo yeye langoni kabla ya kuumia
  13. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Vyanzo vya ndani kabisa vinaeleza kuwa chama alishapata timu tangu mwanzoni mwa msimu ila alinyimwa release letter na simba. Kwa umri wa chama na uwezo wake tulihitaji replacement yake mapema iwezekanavyo kitu ambacho tulishindwa kufanya na kuendelea kumtegemea yeye, hivyo ni wakati sahihi wa...
  14. XII Tz

    Njama za kuondoa kipa wa Simba sc Aishi Manula zimefanikiwa kwa asilimia 70

    Ally salim hana kiwango sawa na Ayubu acha uongo
  15. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Sahihi mkuu hata mkimsajili nyie tu
  16. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Upo sahihi mkuu, timu inapaswa kufumwa upya hii.
  17. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Swala la sajiri ni wimbo ambao tumeuzoea, ila kiukweli simba ina wachezaji wazuri sana ila kuna mengi yanaendelea nje ya uwanja ikiwemo migomo baridi baina ya wachezaji na viongozi na waanzilishi wa migomo ndo hao akina chama. Hususani kila inapofikia kipindi cha usajili lazima aje na jipya.
  18. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    Mimi ni simba damu mkuu, angalia hata post zangu za nyuma, ila kama Simba tunapaswa kufuma timu yetu upya hari ya upambanaji irudi na pia iwe tishio kote barani afrika kama ilivyokuwa zamani. Tukubali zama za hicho kiumbe zimefika mwisho ata Real Madrid walikuwa na Cristiano ronaldo na sasa wapo...
  19. XII Tz

    Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

    simba inapaswa kufumwa upya bila ya uwepo wa hicho kiumbe, tunahitaji damu changa zenye njaa ya mafanikio, hana jipya ameshafika mwisho.
Back
Top Bottom