Search results

  1. yuda75

    Kama unataka kufurahia mapenzi, oa mwanamke asiye na kazi

    Wanawake wasio na Kazi wanakuwa hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta Watoto wasafi kama mmebahatika kuwa nao, hata ukimuachia hela ya matumizi anatumia Vizuri tena unampa hela kwa furaha kabisa...
  2. yuda75

    Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda. Je, niwape chakula gani ili...
  3. yuda75

    Amerudi analia, anatia huruma...

    Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa lakini alibadilika akawa na mtuu ambae ni jama yakewa utotoni. But naona kajileta kwangu mahaba kama...
  4. yuda75

    Je, upo tayari kupima VVU na mchumba, mchepuko au mkeo na kupokea majibu pamoja?

    Habarini wadau, Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau? Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
  5. yuda75

    Maisha anayoishi Irene Uwoya ni maisha aliishi Wema Sepetu miaka 10 iliyopita, Majuto ni mjukuu

    IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20. Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi...
  6. yuda75

    The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

    Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa...
  7. yuda75

    Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

    Habarini wadau Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea nikatulia. Ila hawa alaaniwe alimpotosha sana Adam na Delila alaniwe alimtesa sana Samson
  8. yuda75

    Ni kweli kaniacha ila nimeshindwa kumuacha nimeshindwaaaaa

    habarini wadau na washauri wazuri wa jf hivi majuzi nilikuwa na uzi wa kuacha ni kweli nimechwa nimejua hilo na nimeona anamtuu mpyaa kabisaa tena kijana mdogo sana iwamesoma nae chuo mkoa x nimemuliza why ivi lakini hanijibu nikumuliza kama ananipenda anasema alishanijibu ilo swali mi nimtuu...
  9. yuda75

    Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

    Habarini wadau na washauri wa JF Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea. Tumeenda vizuri, tumeishi kwa...
  10. yuda75

    Atletico Madrid (special thread)

    YOUR WELCOME FANS
  11. yuda75

    Je, Ni lazima kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako?

    Habarini wadau wana JF Je, kunaulazima wa kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako? Maana inakuwa kama umemnunua vile ninavyoona maana muda wa kuondoka wanakodoa macho kweli. Mbona wanaume wakienda kwa wapenzi wao wa kike hamtupi nauli? Au ndo mwanaume utakula kwa jasho maana mbinguni...
  12. yuda75

    Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  13. yuda75

    Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi zote za Taifa na kupeleka ripoti bungeni kuhusu watalii wanaotembelea kila hifadhi na kiasi cha pesa kinachoingizwa na kila hifadhi kutokana na utalii huo. Gambo...
  14. yuda75

    Mahakama: Majadiliano Kati ya DDP na Harbinder Seth yamalizwe

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kufuatilia majadiliano ya kuimaliza kesi iliyowasilishwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) dhidi ya mwenyekiti mtendaji wa PAP, Harbinder Seth na aliyekuwa mwanasheria wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege...
  15. yuda75

    Majuto ya mambo tuliyofanya kimakosa katika mapenzi (sex) au mahusiano

    Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa kujua kuwa ni wangu peke yangu ila alinipiga chini nikalia kama mtoto mpaka leo sijawahi kupenda...
  16. yuda75

    Viwango vya mishahara kutokana na elimu na ngazi mbali mbali je wewe upo wapi

    TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
  17. yuda75

    Natafuta kiwanja Dar es Salaam

    Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana. Bajeti milioni 5. Kwa mwenye nacho aniambie.
  18. yuda75

    Je, kufanya mapenzi (sex) mara kwa mara kunachangia kupungua kwa nguvu za kiume?

    Habarini wadau kama heading inavyosema. Kuna ukweli wowote kate ya sex ya mara kwa mara na upungufu wa nguvu za kiume? Mfano kwa wiki mara 4 na bao tatu tatu.
  19. yuda75

    Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

    SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja Umenunua zako K Vant unapiga...
  20. yuda75

    Je, baada ya kufanya mapenzi bila kinga na mtu usiyemwamini(tegemea) ulikuwa na hali gani?

    Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache. Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
Back
Top Bottom