Search results

  1. Madish Installers

    Tunafunga Electric Fence, Tsh 19,000 kwa square meter 1

    MaDish Installers Tunafunga mifumo ya ulinzi kwa kutumia:- CCTV cameras Electric fence Alarm system Intercom Na mengineyo na wakati huu tuna punguzo maalum kwenye kufunga Electric fence kwa Tsh 19,000/= kwa square meter 1, tunafanyakazi mikoa yote Tanzania. Pia tunafunga mfumo wa TV...
  2. Madish Installers

    Msaada tutani kuhusu malipo ya faini ya gari

    Habari wadau! Hivi ikitokea gari imeandikiwa then ukalipa kwa kutumia wakala wa bank, baadae kama miezi minne unakamatwa gari inadaiwa deni lile lile ni nini unapaswa kufanya? Receipt ipo ila imefutika maandishi..
  3. Madish Installers

    Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000...
  4. Madish Installers

    Msaada: Naomba kujuzwa zilipo Ofisi za TAKUKURU

    Habari wanajamii, Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi! Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
  5. Madish Installers

    Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
Back
Top Bottom