Search results

  1. Fekifeki

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Nina wasi wasi na hivyo virutubisho asee!!
  2. Fekifeki

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Yaani aliona viboko havitoshi akaongeza na ngumi??? Huyu Mwalimu atakuwa na mapepo si bure! [emoji848][emoji848] Sheria ichukuwe mkondo wake mara moja na waache kumzungusha huyu mama!!
  3. Fekifeki

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Tunapaswa kumrudia Mungu kusema kweli hivi vifo vya ajabu ajabu vimeshamiri mno!?
  4. Fekifeki

    Mtwara: Akutwa amejinyonga jirani na nyumba ya mkewe

    Siku hizi hakuna mapenzi vijana kuweni makini sana [emoji1431]
  5. Fekifeki

    Mtwara: Akutwa amejinyonga jirani na nyumba ya mkewe

    [emoji1787][emoji1787][emoji1430]
  6. Fekifeki

    Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Yes, maana alikuwa anawajibika na wenzake na siyo peke yake
  7. Fekifeki

    Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Hongera, mwenye nacho huongezewa, ambaye hana, hunyang'anywa hata kile kidogo alicho nacho!
  8. Fekifeki

    Ifike mahali huko kusini mkuheshimu sana! Leo wametest mitambo tena

    [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
  9. Fekifeki

    Kwanini wanaotoa ushuhuda makanisani huwa hawachukuliwi hatua za kisheria?

    Kabisa mkuu, na wanalipwa kwa shuhuda hizo za uongo na wengine wanapigwa pu pia [emoji3][emoji3]
  10. Fekifeki

    Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

    Duh! Kanisa langu jamani [emoji848][emoji848][emoji848]
  11. Fekifeki

    Naibu Spika Zungu: Bodaboda wanakatisha tamaa, wasimamishwe

    Haisaidii,, unaweza ukawa unatembea kwa miguu pembeni mwa bara bara lakini ukafuatwa na boda boda humo humo mkuu
  12. Fekifeki

    Naibu Spika Zungu: Bodaboda wanakatisha tamaa, wasimamishwe

    Mdogo mdogo ile kauli ya Mh Lema naona imeanza kuwaingia
  13. Fekifeki

    Dhuluma na wizi unaofanywa na kampuni zinazokopesha bodaboda (pikipiki)

    Nadhani siyo WAHANGA ni WAATHIRIKA mkuu,, [emoji1431][emoji1431]
Back
Top Bottom