Search results

  1. Midazolam

    Mafataki ya wahindi ni Kero kwa wagonjwa

    Najua mmepewa kibali, Ila kwa upande mwingine serikali itazame kwa wenye shida ya matatizo ya Moyo na wagonjwa wengine. Mnapiga fataki Kati Kati ya jiji na hospitali zetu zipo ndani ya jiji, Naomba serikali itazame hili jambo kwa Mara ya pili, mnatupa shida na kuleta usumbufu kwa wagonjwa .
  2. Midazolam

    Kichomi kwa mama mjamzito juu ya tumbo karibu na chembe Moyo. Nini tiba yake?

    Tupeane elimu kidogo juu ya vichomi kwa wajawazito.
  3. Midazolam

    NHIF Ilala, kwanini hamtaki kutupatia kadi zetu za Bima?

    Tatizo ni nini ndani ya NHIF Ilala? sisi ni wateja wenu na mnatukata hela kwa ajili ya matibabu, ila sasa imekuwa kero sana kwetu. Huu ni mwezi wa tatu toka nilipowasilisha fomu ya kupatiwa kadi ya bima kwa ajili wategemezi wangu, kila nikija kufuatilia majibu ninayopewa naona kabisa ni...
  4. Midazolam

    Ni chakula gani akina mama wajawazito wanapenda?

    Naona kama nakonda kwa huu usumbufu. Kila chakula ninachomnunulia hataki, na huwa anasema yeye anataka nikileta ni shida, hataki. Leo nilienda feri nikanunua kila aina ya samaki nilivyoingia nazo ndani, toka toka sitaki kusikia hiyo harufu nikabaki mdomo wazi. Nimemnunulia maparachichi na...
  5. Midazolam

    Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

    Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea. Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja. Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake...
  6. Midazolam

    Muvi za upelelezi.

    Upelelezi ...unalenga kujua zaidi kuhusu (utumbuzi) au mtu na matendo yake Ili kupata ushahidi. Kama unajua muvi zinazolenga upelelezi naomba kunitajia kwenye comment.nina mda kama miezi miwili hivi za kukaa tu ndani ,napenga kutumia huo kuzicheki. Asanteni kama mtanisaidia majina na Mungu...
  7. Midazolam

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali Nahitaji kuwa na nini na nini maana mwanamke ninaye. Lengo kuu ni kutaka kufanya mambo mengine nikiwa na huyu mwanamke maana Kuna vitu nashindwa kumkamilishia mpaka awe ndani ya ndoa ya serikali. Na njia gani naweza kutumia Ili nifanikishe...
  8. Midazolam

    Msaada wa haraka, ni wapi nitapata Galatini (Gelatin)?

    Msaada, kwa hapa Dar ni wapi nitapata poda au unga wa galatini?
  9. Midazolam

    Hii bahati ni ya kawaida au ya namna gani wakuu?

    Moja kwa Moja kwenye mada.mimi ni mkristo na muumini mzuri tu katika maisha yangu. Nimekuwa na hii hali na imekuwa inajirudia sana ninapokuwa msafi wa rohoni na huwa ninapoomba sana. Nimekuwa nikienda kununua kitu dukani basi nitatoa ela na kununua bidhaa,ila Cha ajabu nitarudishiwa ela nyingi...
  10. Midazolam

    Msaada: Mtungi wa gesi unatoa gesi kidogo sana

    Kwa mwenye utalaam au ushauri nifanye nini kabla ya kwenda kwa fundi. Mtungi wangu wa gesi inatoa gesi kidogo sana kiasi cha kutoweza hata kuchemsha maji. Mtungi unagesi wa kutosha.nimejaribu kufungua pale kwenye mgolori au ule ka mduara nikikusisha na kitu dizaini Fulani hivi kama kukandamiza...
  11. Midazolam

    Kwa mara ya kwanza leo nimekojoa kitandani sijui nitamdanganyaje mke wangu

    Kichwa habari hapo juu, nimeshtuka na mpaka mda huu nimeamka naona nijiandae tu kwenda kazini. Sijui hii ni nini, niliacha kukojoa nikiwa na miaka mwaka Moja na nusu kwa maelezo ya mamangu. Jana nilitoka kazini, kichwa kilikuwa kinaniuma sana na ilisababisha nikasahau kuchukua funguo za mlango...
  12. Midazolam

    Namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu

    Ndio, namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu, narudia kusema mwenye akili timamu. Umri kuanzia miaka 22 mpaka 30. Mimi mwenye mi pia nipo kwenye hiyo miaka. Awe Dar es Salaam Kingine akubali kwa ridhaa yake kupima magonjwa, maana sitaki skrepa Mimi[emoji1][emoji1]ndio nipo makini katika...
  13. Midazolam

    Nimewaangusha Panya Road zaidi zaidi ya 15 huku Majohe

    Wakuu habari zenu. Ulinzi wa taifa hili ni la wananchi wote na napenda kuishi kwa amani ndani ya nchi yangu. Mimi ni kijana mpole na mbambe ninapochokozwa na huwa sipendi uonevu kutokana na sehemu nilipokulia,Mimi kwetu ni rorya Kanda maalum na siku zote nilishakataa kuwa siwezi kusumbuliwa na...
  14. Midazolam

    Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

    Wajuzi wa mambo haya, Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama, Mamangu ni mwana maombi sana na maombi yake juu yetu ni kama umetufunika na...
  15. Midazolam

    Muuguzi mtandaoni

    Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu mambo zenu. Nianze tu kwa kusema afya ni uhai , na miili yetu kuugua ni mojawapo ya changamoto kwenye maisha. Mimi nafanya kazi na nimeajiriwa , mi ni mtumishi mwema kabisa na napenda sana kazi yangu, nipo kwenye hospitali moja kubwa tu hapa jijini ( dar es...
  16. Midazolam

    Moyo wangu unaumia sana, nawaza kumfanya kitu mbaya rafiki yangu

    Poleni na pilika pilika za hapa na pale , Sisi wanaume tunapitia mambo mengi ya kuumiza na kufurahisha sana. Huyu jamaa ni rafiki yangu tulikutana miaka mitatu iliyopita yeye ni mmafia ila kutokana na mimi ni mmafia pamoja na kuwa karibu naye kama marafiki ila nimejipima na kujiona ni mmafia...
  17. Midazolam

    Nimechoka kuwa na wanawake wa walinzi wa taifa

    Jamani ndugu zangu , naamini mko salama Nasema nimechoka, hivi nyie hawa wanawake mnaishi nao kivipi mi nimeshindwa , Wao watakutafuta tu kipindi amekwama anataka ela, ukishampa hana habari na wewe tena ukimpigia simu itaiita weeeeee, hapokei, mara nipo kazini kwani sisi hatuna kazi mbona na...
  18. Midazolam

    Maneno yanaumba, malipo ni hapa hapa duniani

    Niseme tu ukweli kwamba mimi sijawahi kumfanyia mtu ubaya na mara nyingi sana naambiwa nina roho nzuri na najiituma kwenye kazi. Mimi ni mojawapo wa watu ninayependa kazi yangu ya kuhudumia wagonjwa, na wapo wengi sana nimejitoa hata wale walioonekana wana corona sikuwahi hata siku moja...
  19. Midazolam

    #COVID19 Ushauri wangu kwa wanaopata COVID-19

    Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai. Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu. Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia...
  20. Midazolam

    Kimeumana, ya nini nilazimishe hataki tupime, hataki tutumie condom, eti uniamini, thubutu

    Habari ya mda huu Naomba wanaume tusiwe na tamaa, ni hivi Huyu mwanamke (25yrs) tumejuana miezi minne, Ijumaa ameomba aje home, nikasema siyo mbaya njoo, kwa kuwa siku hiyo mi nilikuwa naingia night maana nilishasahau kama alikuwa ana maanisha kweli kuja Muda wa saa moja na nusu anasema...
Back
Top Bottom