Search results

  1. K

    Plot4Sale Anayehitaji kiwanja Vikindu njoo

    Ni shamba lililokuwa na ekal 16, tumelikata viwanja. Lipo umbali wa Km 1.1 kutoka Barabara ya lami ya kwenda Mtwara. Nipigie kwa 0716560669.
  2. K

    House4Sale Shamba linauzwa kwa bei poa, Vikindu-Mkuranga

    Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga. Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo Mbali na Dar. Shamba lina ukubwa wa Hekali 3. Kuna mikorosho 103 na Minazi 43. Lipo sehemu nzuri...
  3. K

    Plot4Sale Shamba linauzwa bei poa Vikindu

    Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga. Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo Mbali na Dar. Shamba lina ukubwa wa Hekali 3. Kuna mikorosho 103 na Minazi 43. Lipo sehemu nzuri...
  4. K

    Ninapokumbuka ya Morgan I Tsvangirai nahuzunishwa na ya Upinzani wa kina Lissu na wenzake

    Bongo tunamambo ya Ajabu, kama unamwona Lissu siyo Mpinzani wa kweli, kuwa wewe Mpinzani wa kweli!! Kwani lazima awe Lissu Tu!!
  5. K

    Ninapokumbuka ya Morgan I Tsvangirai nahuzunishwa na ya Upinzani wa kina Lissu na wenzake

    Kwani lazima awe Lissu, uwe wewe kama hao uliowataja.
  6. K

    USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Watakuwa wanawasilisha hoja za chama gani??
  7. K

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Vikwazo ni muhimu ili kukomesha ujinga. Jaribu kufikiri, je kulikuwa na ulazima gani kupakia kura kwenye mabegi??
  8. K

    Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

    Rekebisha hapo kwenye serikali iliyochaguliwa na wananchi. Weka serikali iliyowekwa na NEC, TISS Na Dolla
  9. K

    Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Matokeo yenu yanaheshimika Lumumba Tu. Dunia haiwezi kuheshimu ule upuuuzii
  10. K

    Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Tukubari tumetia aibu. Hakukuwa na uchaguzi
  11. K

    Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Meko anaogopa uchaguzi kuliko korona. Kura za kwenye mabegi ndizo anajivunia. Wananchi hawataki hata kumskia.
Back
Top Bottom