Search results

  1. Makala josee

    Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

    Nampendekeza kwenu Bi Dorothy Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu...
  2. Makala josee

    Naomba Mwongozo wa kumshtaki tajiri aliyenajisi Watoto

    Habari wanaJF, Naomba muongozo wa jinsi ya kumshitaki tajiri mmoja aliewanajisi Watoto mapacha wa marehemu Dada yangu hapa Dar es Salaam Asanteni
  3. Makala josee

    Zanzibar 2020 Bi Zahla Ali Hamad: Sababu ya kutoendelea Zanzibar ni udhalimu

    Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo. ======== Kwakweli...
  4. Makala josee

    Kizazi cha wenye kuijua vyema Tanganyika kinakwisha

    Ni wazi wazee na waasisi wa Tanganyika wanapukutika TANGANYIKA ilipokea uhuru wake kutoka kwa mkoloni wa kiingereza hata hivyo uhuru huu haukuwa ni ule wa kushika mtutu pamoja nakuwa nyuma kidogo wakati wa kuingia mjerumani kulipiganwa vita kati ya wazee wetu na wamisionari waliokuja na lemba la...
  5. Makala josee

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  6. Makala josee

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ni kweli anajua maana ya kunadi sera?

    Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu Akiwa Lindi mgombea wa chama cha mapinduzi kwa nafasi ya Urais ndugu John Magufuli ambae kwa mujibu wa sheria ni Rais hadi hivi sasa, amenukuliwa akitishia Wananchi kutokuwapelekea Maendeleo kwa...
Back
Top Bottom