Search results

  1. S

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hivi kuhusu nmb mobile kama nikitaka kuibadili namba hio je ninahaja yakuenda bank au kuna menyu naweza baridi? Maana namba nliosajilia before imefungiwa nasiihitaji tena.
  2. S

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung Galaxy J7 core Price 190k Good condition 16 GB internal memory Nipo Dar es salaam Contact 0768689812
  3. S

    Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    ohhh mkuu hapana ni 190 hii
  4. S

    Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    Samsung J7 core Storage ni 16GB 195k au 190 nakupa.
  5. S

    Pochi Za Mtumba zinapatikana hapa

    ongeza picha na uweke na bei mkuu sio wote wana access ya kwenda Instagram
  6. S

    Ni wapi nitapata kibarua cha kuniwezesha kupata angalau Tshs 7000 kwa siku?

    Kwa kweeeli wala hujakosea .... 7000 kwa siku simchezo
  7. S

    Mateso ya Masheikh wetu

    Allah akulipe kwa hayo maneno. Na assume ungekaa wew miaka 7 au ndugu yako.... sio kucoment coment tyuu.
  8. S

    Mateso ya Masheikh wetu

    Allah awafanyie wepesi watoke.... Allah atusamehe sisi pia. Aaaaamiiiin🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
  9. S

    Naomba kujuzwa jinsi yakupata kibali cha kuwa mchuuzi wa mkaa

    Habari wakuu. Poleni kwa majukumu. Naomba nielekezwe namna yakupata kibali cha kuuza mkaa. 1. Kuhusu hatua zake. 2. Je, inagharimu kiasi gani?
Back
Top Bottom