1. Celebration- Cool and the gang
2.Llove come down- Evelyn king
3. Everybody everybody-Black box
4. I've been thinkin about you- London beats
5. Just an illusion- Imagination
6. Point of no return- Nushooz
7. Never gonna give you uo- Rick astley
8. Candy girl- New edition
9. Dont be a cruel-...
Mimi Mkatoliki halafu Jumuiya yangu imepewa jina lao watakatifu mashahidi wa Uganda tunasherehekea siku yao Jumamosi hii tarehe 08..karibuni tusali pamoja
Nakubaliana na ushauri wote uliopewa na wenzangu waliopita naongezea tu kuwa inawezekana wewe ndio ulianza kubadilika na yeye akaamua kuwa hivyo kama ni kweli basi rudi muwe kama ulivyokuwa zamani kabla mambo hayajaharibika. otherwise ushauri wote mzuri umepata (jali watoto na mambo ya muhimu...
enzi hizo mi dogo lakini nilikuwa nacheza madisco ya mchana(boogie) kila jumapili pale ymca, msasani beach, ushirika.
nawakumbuka madj wote.
nakumbuka nyimbo hizi
let me be the one- five star
hanging on the string, slow down- loose ends
pay in full- eric b n rakim
love come down, am in love-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.