Search results

  1. BOENG 777X

    Mwenye uelewa kuhusu chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Mbeya

    Habari za uzima wapendwa, Naomba kuuliza kwa Mwenye uelewa kuhusu chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Mbeya anijulishe ubora wake kama kipo vizuri kwenye kozi ya IT yani information technology Nitashukuru kupata majibu.
  2. BOENG 777X

    Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Sio ajabu mkuu io ni sawa na kusema eti kisa mwanafunzi anatokea familia duni basi ndio awe anafeli hapana mtu unaweza kusoma kwa mazingira magumu na ukafaulu tu
  3. BOENG 777X

    Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Mkuu kumbuka wanaochaguliwa A level Serikalini ua wapo vizuri kwa asilimia kubwa na hao wa private wengi ni wale wanaoenda ili wawe na elimu ya A level lakini unakuta uku O level alizingua kiaina na pia asilimia kubwa ya wanaofaulu O level ua wanaenda kwenye shule wanazo pangiwa ndio maana...
  4. BOENG 777X

    Wahitimu wa vyuo waokolewe

    Kumbe unajua kabisa hao kidato cha nne wanakua madereva na wanalipwa vizuri sasa kwanini usitumie cheti chako cha kidato cha nne na ww ukapate io ajira ndugu maisha ni kuchagua wenzako walichagua izo kazi na zimewafikisha hapo na wewe pia ulichagua kusoma kwaio subili mda wako utafika.
  5. BOENG 777X

    Unaweza kukopa Benki mbili tofauti kwa wakati mmoja?

    Habarini za kazi za kila siku wapendwa. Kwa mwenye uzoefu tafadhali anisaidie ivi inawezekana mtu akakopa benki mara mbili yani akiwa ameshakopa benki A na anahitaji kukopa tena benki B io inawezekana kweli. Msaada tafadhali.
  6. BOENG 777X

    Msaada kuhusu kesi zinazohusisha alama za vidole

    Habari wapendwa poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Naomba wataalamu wa mambo mnisadie hivi kama kuna kitu kilipotea na ghafla kikapatikana ndani kwangu lakini nisikishike kwa mikono yangu na katika eneo hilo kulikua na watu wengi ambao inawezekana akawepo alie weka icho kitu ndani kwangu na...
Back
Top Bottom