Search results

  1. PSEUDOPODIA

    Tumechoka sasa! Kila mchezaji mnamfananisha na Chama

    Tafuteni mchezaji mwingine, mbona wapo wengi! Kila siku ni Chama Chama! Mlianza kumfananisha na Mkoko, mkaja Feisal na Chama, Mara Azizi K na Chama.., mkaja Aucho na Chama .. sasa hivi ni Pacome na Chama! Kwani huyu Chama ni nani???? Tafuteni wengine basi! Semeni hata Pacome na Chasambi angalau...
  2. PSEUDOPODIA

    Tupo wengi tuliojiandaa kusema " Tulijua tu"

    Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu". Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
  3. PSEUDOPODIA

    TFF Jipangeni kuanza kupokea lawama kutoka kwa Malalamiko FC

    Natabiri lawama ya kwanza kabisa itakuwa hii:- TFF kwanini imeweka ngao ya hisani kugombaniwa na timu nne. Wameona kila mwaka tunabeba sisi wakaamua kuleta hujuma. Baada ya lawama hiyo , lawama zinazifata ni za ratiba, marefa na viporo! Niko palee nimekaa
  4. PSEUDOPODIA

    Viongozi wa Simba tunawaomba, Kupeleka jezi mlima Kilimanjaro isiwe kwa sababu ya kutangaza utalii

    Tunaomba mkome, mkome tena mkomae! Hatutaki kusikia Simba inatumika kutangaza utalii! Kama ni sababu ya kupeleka jezi mlima Kilimanjaro basi iwe ni ili Africa nzima waione, sababu mlima Kilimanjaro upo juu zaidi Africa nzima! Pia tunaomba, tukishiriki mashindano ya CAF lile neno Visit Tanzania...
  5. PSEUDOPODIA

    Baada ya Yanga kuwaalika Kaizer Chiefs siku ya Wananchi, Je Simba Itamwalika nani siku ya Simba day?

    Ili uwe bora inabidi kujipima na walio kuzidi ubora, Yanga kwa upande wao wamelitambua hilo imeona itafute timu iliyo juu yao kwenye rank za Caf ili ijipime nayo. Ukija kwa upande wa Simba yenyewe ni ya 7 kwenye rank za Caf, waliopo juu yake wote watashiriki nae kwenye Africa Super Leage, je...
  6. PSEUDOPODIA

    Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

    Je ndo siku ya Mwananchi au tutarajie nyingine?
  7. PSEUDOPODIA

    Sisi mashabiki wa USM Alger tuliopo hapa bongo tunasema!!!

    Tutaanza kushangilia kuanzia goli la sita, hayo matano ya mwanzo hatutayashangilia sababu tunajua tayari yapo. Na kwenye hayo magoli saba yule jamaa yao mwenye goli 5 lazma apige hat trick.. hivyo kombe mna kosa na kiatu mnakosa... Ma bwege nyie
  8. PSEUDOPODIA

    Tatizo la Yanga ni vibeki vimbilikimo, alafu wakaweka lingongoti la kuzugia

    Yaaani pale nyuma vimejaa vimbilikimo alafu vinaongozwa na li ngongoti hata kuruka haliwezi, kwanini msile kichapo tu!
  9. PSEUDOPODIA

    Yanga atafungwa 2 bila na USM Alger leo

    Goli la kwanza ni penati goli la pili ni counter attack moja matata sana. Imeisha hiyo
  10. PSEUDOPODIA

    Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

    Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:- -Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi moja dhidi ya Raja Casablanca. - Upande wa pili, Yanga siku ya Jumapili atajitupa dimbani dhidi ya...
  11. PSEUDOPODIA

    Robertinyo ni bonge la kocha! Nimependa anao uthubutu

    Sub ya Chama ni very technical, baada ya kuusoma mchezo na kuona ni ngumu kuwafunga Mbeya City kupitia katikati, akaona ni bora aimarishe Wings, Magoli yapatikane kupitia pembeni. Akaingiza watu wenye kasi pembeni, kisha akamtoa chama ambaye yeye saido kiuhalisia walikuwa wanafanya kazi...
  12. PSEUDOPODIA

    Yanga rekebisheni haya Mambo matatu walau mtafaidika kimataifa

    Jambo la kwanza tuutoe ule mwenge kwenye nembo ya timu, mwenge maana yake wewe ni wa hapahapa, mwenge haujawahi kufika hata hapo Kenya,unazunguka hapa ndani tu. Tuweke radi pale, ukizubaa inakupasua. Pili, inabidi ile slogan ya nyuma mwiko tuitoe, tutafute slogani nyingine, huo mwiko huko nyuma...
  13. PSEUDOPODIA

    Kauli mbiu ya wana Yanga baada ya Mechi ya leo na Al hilal

    "Tunaenda kupindua meza Sudan halafu tar 23 tunawarudia nyie." Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  14. PSEUDOPODIA

    Yanga atafungwa 3-1 na Al hilal

    Mechi itaanza kwa Yanga kutangulia kupata bao, jamaa watafanya come back na ku level score board. Jamaa watapiga chuma cha pili na cha tatu. Badae watapiga chuma cha nne ila itkuwa off side. Mwishoni ubao utasoma Yanga 1- Alhilal 3. Wanangu wa Jangwani tujiandae kupindua meza kibabe. Baada ya...
  15. PSEUDOPODIA

    Tuwe wakweli: Hivi Ntibazonkiza angekwepo kwenye mechi ya zalan asingetoka hata na asist kweli?

    Kweli kwa Aziz K tumepigwa wanajangwani, Bora Saidoo kuliko K.
  16. PSEUDOPODIA

    Naomba mwongozo: Nataka kufungua duka la vipuri vya pikipiki

    Naomba ushauri kwa wazoefu, mtaji wangu ni mil 6 1. Kwa kuwa mtaji ni mdogo, je nianze na vitu gan ambavyo vinatoka mara kwa mara 2. Nipo mkoani (moshi) ni wapi nitapata chimbo la hizo spea kwa bei nafuu 3. Ushauri tafadhali
  17. PSEUDOPODIA

    Ifakara Sec School form five joining instructions form

    Tafadhali naomba msaada, mwenye hiyo form hapo juu anisaidie, ya 2022/2023
  18. PSEUDOPODIA

    Njoo tujifunze Kiitaliano

    Karibuni Wote pia mnao kijua Kiitaliano tupeane maujuzi.
  19. PSEUDOPODIA

    Natafuta smart TV TCL inch 55

    Nipo Moshi, nafuta TV hiyo kwa reasonable price, iwe katika hali nzuri.
  20. PSEUDOPODIA

    Chanika kidugalo tunasherehekea Muungano tukiwa bado gizani kwa sababu za kisiasa

    Jamani sitachoka kupiga kelele kuende kuileta hii kero yetu kwenu hasa viongozi wetu. Sisi wananchi wa Chanika kitongoji cha Kidugalo hususani baadhi ya mashina ya kitongoji kero yetu kubwa ni umeme. Tulipoona mradi wa Rea umefika tulifurahi sana nae kusema hatimae Mungu amesikia kilio chetu...
Back
Top Bottom