Search results

  1. A

    MOH kusomesha mtoto wa mkubwa UK ni uungwana?

    Hapa mimi sikubaliani kabisa na Palalisote na wengine wa aina yake.kwanza siamini eti ni yeye pekee SALAMA kikwete kuwa ndo ameomba UK,tuachane na mambo ya siasa na ukada hapa.me mwenyewe ni kada mzuri wa chama cha mapinduzi na ndiyo maana napingana na hili kwani linashusha credit ya chama...
  2. A

    Kwa ccm ya sasa, nafuu Lowassa kuliko wengine

    Ndugu yangu nenda kajipange tena kama umetumwa kumpigia kampeni fisadi Lowasa u waste you time.CCM c wapumbavu kumchagua Lowassa eti awe rais never,CCM ni chama makini sana kinachotaka na kuwa na uwezo mkubwa kwa kuwa na watu makini zaidi wa kutawala Taifa hili.Hili c taifa la kila mtu kuwa...
  3. A

    Jamani wana jamiiforums lile sakata la kusimamishwa kwa ugawaji wa ardhi kwa vigogo mafia kumeishia

    Wadau mko wapi tulichangie hili?hao vogogo walopewa hivyo viwanja wako wapi?waanikwe tuwajue then tuwachambue wana manufaa gani kwa wakazi wa mafia?maana anatajwa Dr Dau tu kwani yeye kapewa viwanja pia?
Back
Top Bottom