Search results

  1. I AM NO ONE

    Waliowahi kununua simu kikuu online tupe matokeo ya simu hizo

    Habari, Ebana nataka kujaribu kununua simu kikuu online. Naomba aliewahi kununua kwa njia hiyo anijuze ni nzuri au zinakuwa famba.
  2. I AM NO ONE

    Naomba ushauri: Nijiajiri au niendelee kuajiriwa?

    Habari. Naomba ushauri aise katika hili. Nataka kuanzisha biashara yangu binafsi ya genge mix duka. Mpk dk hii tyr 90% nimeshafanya nimekod fremu meza shelf tyr nimetengeneza na rangi safi nyeupe nimepiga. Ila nakabiliwa na mgogoro wa baina ya mawazo yangu na mawazo ya wazazi wangu. Wazazi...
  3. I AM NO ONE

    Kuna Uchawi au Uganga unaweza kufanya ukaongezwa mshahara au kupandishwa cheo kazini?

    Habari, Aise mimi kuna mahali nafanya kazi ila sasa kuna mtu nafanya nae kazi ananiambia we kaa hivyo hivyo usihangaike. Sasa huyo anaenimbia hivyo ni mtu alikuwa kitengo kingine akahamishwa akapelekwa kingine chenye nafuu kidogo Halafu sasa ananiambia kashapewa barua ya kuongezewa mshahara...
  4. I AM NO ONE

    Tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Instagram

    Habari wakuu. Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako. Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
  5. I AM NO ONE

    Derby: Wataalamu wa lugha tunaomba hili neno mtuwekee Kiswahili chake vizuri

    Huwa tunatumia sana hili neno katika mchezo wa mpira tukimaanisha (TIMU MBILI MASHUHURI ZA MJI MMOJA ZIKIKUTANA NA KUCHEZA PAMOJA) ndo tuna sema DERBY. Sasa hili neno DERBY tumelizoea sana kanakwamba watu wengi wanaliona kama ni neno la Kiswahili kumbe Kiingereza.Msaada kwa anaejua kuliweka...
  6. I AM NO ONE

    Matangazo ya BBC Swahili na Sauti ya Ujerumani mbona siyapati siku hizi kwenye Redio

    Niaje. Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au? Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
  7. I AM NO ONE

    Watetezi wa wanyonge

    Watetezi wa wanyonge wakiwa ndani ya sare kamili
  8. I AM NO ONE

    Mama wa mchumba wangu ananikuwadia kwa mdogo wake

    Habari, nina stori moja leo ambayo inaniumiza kichwa kabisa kuhusu mama wa mchumba wangu simuelewi hata kidgo ana nia gani na mimi.Juzi flani hivi nilikwenda kumsalimia alikuwa anaumwa nikafika kwake kwenda kumjulia hali ila kwa mda huo nilioenda mpenz wangu hakuwepo ambae ni binti yake alikuwa...
  9. I AM NO ONE

    Kuna Ukweli wowote juu ya kufatilia ramli au nyota

    Niaje ebhana hapa me pamekuja kunishangaza sana nimekuwa nikifatilia mambo ya nyota kila siku lakin cha ajabu unakuta yote anayokwambia kuhusu nyota yako ni sawa ukijitasmini ila kwa upande wa nyota za kila siku nimekujua kuona ni uonga maana haisema ukweli,vingi vinavotafsiriwa kila siku kwa...
  10. I AM NO ONE

    Wauza mboga mnaotembeza kwenye madishi mnasumbua kwa hodi alfajiri sana

    Za asubuhi members, Jamani kuna haka katabia kakuletewa mboga nyumbani na wale wakina mama wajasiriamali; ni vyema wanapata hela na riziki lakini kuna tabia mtu anapiga hodi utasema anakudai kwa lisauti likubwa zito utasema sasa imekuwa ugomvi au nini. Sasa mbaya zaidi ndiyo muda ambao...
  11. I AM NO ONE

    Hawa sio matapeli wa ajira kweli? wao wanauza form ya maombi ya kazi Tsh 2500, Mirogena & Company Limited

    Habari wadau hawa jamaa wametangaza nasafa sa kazi lakin nashangaa wanakwambia jaza form alafu ulipie tsh 2500 ya form? Ukishaingia kwenye tovuti yao ndo unakutana na hizo habari za ada ya form kweli inaingia akilini hii kitu wanajiita...
  12. I AM NO ONE

    Tv show na movies za HBO na HBO Max zinachochea mapenzi ya jinsia moja kwa kwenda mbele

    Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika. Huko ni mchezo wa wanaume kwa wanaume...
  13. I AM NO ONE

    Nataka nifanye biashara ya magazeti kisasa, faida yake ikoje?

    Habari wakuu, napenda kujua hii biashara ya magezeti inafanyikaje na faida yake ipoje nataka niifanye kisasa zaidi.
  14. I AM NO ONE

    Wapenda series, hii ya watchmen kutoka HBO imekaa poa sana

    Niaje wakuu hii tv show aise iko poa sana kwangu kuanzia stor hadi cast wake.hasa MASTER ndio ananifuraisha sana na ANGELA ABRAHAM maana dada anakinukisha balaa
  15. I AM NO ONE

    Mzee Yusuph njaa imempiga kaamua kurudi kwenye Muziki

    Habari hivi wanaume wenzangu hili la huyu mzee yusuph tumuweke kundi gan ? kigeu geu au paka mapepe..si alisema mwenyewe htaki dhambi hta kidgo sasa kamrudia Mungu.
Back
Top Bottom