Search results

  1. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Umeniweza madam,,, nimenyosha mikono juu
  2. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    😂😂 hata kamera hamna jamani madam Demi
  3. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Hizi kazi za watu chief
  4. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Umejuaje madam 😂😂
  5. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Yaan ndio ingekuwa mwisho wa kuona jua la asubuhi
  6. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Yeah,,, hawaachi alama hatar sana chief
  7. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Chief Naitwa baba kwahiyo familia inanitegemea
  8. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    huwa sina tabia ya kutunga mambo na ili iweje kwa mfano,,,haya mazingira ni porini sio busy kama town, huenda baada Ya dakika kadhaa ndo unaweza pishana na gar au boda boda, ndio maana hata jamaa walikuwa comfortable kumaliza shughuli yao pale Kwa mazingira kama yale toka awali tulijiuliza...
  9. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Sio ule mwendo mkali kivile chief,,, baada Ya kuwakaribia ndio tukaona hiyo ishu so tukaongeza wese,,, trust me chief
  10. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Sana chief,,, nikawa najiuliza huenda ni baba anayesubiriwa na familia yake arudi home
  11. Etugrul Bey

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku. Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika harakati zangu njiani nikakutana na gari imepaki,nje kulikuwa na mwamba mmoja anafuta bastola yake kwa...
  12. Etugrul Bey

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Pitieni hapa mtakuwa kama wachaga https://www.jamiiforums.com/threads/sijajutia-kuonana-na-robert-kiyosaki.2029687
  13. Etugrul Bey

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Kama wadau wengi walivyochangia wenzetu wana nidhamu sana ya pesa ingawa wkt mwingine huenda ikaleta maradhi,,,, hawa jamaa kushinda mchana na karanga pakti moja sio ishu Point kubwa wana nidhamu kubwa ya pesa na kujituma pamoja na kuinuana,,,, katika ukoo wengi wenu mkiwa vizur ni rahisi...
  14. Etugrul Bey

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Nimependa hivyo viingilishi my
  15. Etugrul Bey

    Kitabu: Maisha ya Malcom X

    Tupo pamoja chief
  16. Etugrul Bey

    Why we feel so good on dream sex rather than normal sex(just like kiwembe)

    Mimi huwa nashukuru kitu kimoja,, huwa naota nina mchuchu mkali kama my To yeye ila huwa najikuta sina ndomu hlf nahaihirisha mechi,,, ila nikishtuka nakujua kuwa kumbe ilikuwa ndoto najilaumu kwanini sikumla hivyo hivyo
Back
Top Bottom