Search results

  1. D

    Radio Station name

    Thanx i will
  2. D

    Radio Station name

    Wadau nawashukuruni kwa msaada wenu hasa kwa Nasakadoo coz amenipa picha angalau, nitalifanyia kazi
  3. D

    Radio Station name

    Asante sana Nasakadoo
  4. D

    Radio Station name

    Niko Moro na malengo ya radio ni kuripoti local news
  5. D

    Radio Station name

    WanaJamvi, Poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.
  6. D

    Nitapata wapi COMPUTER USED za BEI NAFUU

    Wadau naomba mnisaidie wapi naweza pata used computers za bei ya chini lakini in good condition, nataka kufungua internet cafe hapo Dodoma. Nataka nianze na kompyuta 10 hivi, i can afford to pay 150,000@. plz help.
  7. D

    Nataka kufanya hii Biashara ina Maslahi?

    Ndg wana jamvi habari zenu, Natamani sana kufanya hii biashara ya Uwakala (agent) wa M-pesa, tigo pesa, Airtel money, ikibidi nianze any time sema sina uhakika ufuatao hapo chini, NAOMBA MWENYE UFAHAMU ANIJUZE KWA UFASAHA. 1. Je INALIPA? 2. Je nitajuaje napata faida nayo 3. Nitapataje TIN no...
  8. D

    Hii ni aibu kubwa kwa Mr Clean!

    MKAPA is NOT clean again kama alivyotuambia JK Nyerere
  9. D

    Ni kweli balozi zetu nje ya nchi zimeishiwa fedha?

    We lack LEADERSHIP in every ANGLE in this country my country
  10. D

    Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

    Tangu hii awamu ya pili ya J M Kikwete nimeshuhudia uchochezi wa hali ya JUU ya UDINI kuliko wakati wowote wa Uongozi wa marais wote waliopita na simsikii hata mara moja rais akionya hilo ila anachochea na yeye, imagine a akihotubia BUNGENI mapema baada ya uchaguzi alisema uchaguzi uliopita...
  11. D

    Kumbe raisi mstaafu karume sio mtoto wa Abeid Karume!

    YO YO, Hii avatar yako imenisumbua sana nimefuta screen ya lap. yangu kwa vidole na kitambaa lakini yule mdudu hatoki, nikasema ama kweli VIRUS wame spoil comp. yangu ile mbaya!
  12. D

    Kumbe raisi mstaafu karume sio mtoto wa Abeid Karume!

    So what. this is past
  13. D

    Beno kajitoa ubunge EAC, Sasa Millya na Bashe kupelekwa

    Hata Rwanda watatuona hopeless Rgional wise kama ISRAEL wanavyotuona IRRELEVANT Global wise Ni vijana.... SAWA! lakini hawana COMPETENCE KABISA. E. A wanahitajika watu kama MNYIKA, ZITTO, JANUARY ..sio hawa MAZEZETA. Millya yule Ignorant ataongea nini East Africa, eti Beno mmmhh, Labda Bashe...
  14. D

    Viongozi mnaotokea mkoa wa Morogoro mnatuangusha!

    Je Prof. Lipumba ni wa wapi? nahisi itakuwa hukohuko
  15. D

    Kama mtaniteua kuwa raisi wa nchi hii.

    chukua...............bana
  16. D

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Naomba mniambie WAPI nitapata MGANGA wa UKWELI kunitatulia matatizo yangu? plz.....
  17. D

    Grand malt....

    mie nikinywa lazima NIHARISHE ile mbaya. SIZITAKI HIZI MALT TENA
  18. D

    Kubeba Laptop Chanzo cha Ugumba kwa Wanaume?!

    Kwanza Gazeti la Mwananchi na Hos. ya Muhimbili watumbie wananchi nini chanzo cha Ugumba kabla ya Laptop Otherwise hii habari niliiona thru Al jazeera News kuwa Waphilipino wamefan.ya research na kugundua Laptop inaweza sababisha ugumba hasa2 wale wanaopakata laptops. Sikuizingatia sana hiyo...
  19. D

    My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

    Ndg yangu The only fanya haya yafuatayo; Ikiwa huyo demu anakutishia kumwambia rafiki yako, kwanza jua ni mcharuko. 1. Mkubalie mfanye nae Sex, halafu mkifika huko falagha MFANYE tofauti na maumbile, mpige TIGO, kisha msikilizie kama bado anakufuatafata (coz tigo kwa watu au dada wengine ni...
Back
Top Bottom