Search results

  1. J

    Mabeberu, Ukoloni Mamboleo ni hoja za watu waliofilisika kifikra

    Nadharia ya ubeberu na ukoloni mamboleo leo ilitoka wapi? Niwape shule kidogo juu ya nadharia hii ya watu waliofilisika kifikra kwa kushindwa kwao wakajifichia kwenye kutupia lawama mabeberu. Wapigania Uhuru wa afrika waliwadanganya kwa kuwaaminisha waafrika kwamba wawasaidie kuwaondoa...
  2. J

    Je, zuio la mikutano ya upinzani kwa miaka 5 ni faida au hasara kwa waliotoa wazo hilo?

    Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
  3. J

    Uchaguzi 2020 Watanzania mmejiandaaje kuhimili visasi kama mtarudia kosa? Nafasi pekee ya kuepuka visasi ni Oktoba 28, nje ya hapo mmekwishaa!

    Nimekuwa ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikishangaa sana watu wanapokuwa wanaongea vitu wasivyovielewa ama kwa ushabiki au kwa kutokuelewa. Mfano watu wameandika sana kuhusu uwezo wa Dr John Pombe Magufuli kuwa anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano...
  4. J

    Uchaguzi 2020 Watanzania mkirudia tena kosa mmekwisha

    Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani. Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani Wallah hakuna ambae angebaki duniani. Kama Kimara...
  5. J

    Ushauri kwa vyama vya upinzani juu ya vyombo vya habari

    Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
Back
Top Bottom