Search results

  1. Misunderstood

    Ni heri tatizo liishie kwako, kuliko kulipatiliza kwa vizazi vyako

    Binadamu wengi duniani tunapitia matatizo mengi bila kusahau la umasikini. Dunia imejaa taabu, shida, majuto nk. Wengi wetu hasa jamii zetu za kiafrika ishu za uchawi, kulogana zimekithiri. Bado hujahangaikia tumbo na hapo ukute huna mchongo wa kueleweka, kila siku unasikilizia. Ya nini kuleta...
  2. Misunderstood

    Cannabis sativa...

    Je utachukuliaje wewe (mwanaume/mume) ukigunda mkeo anavuta bangi? Au wewe (mwanamke/mke) ukigundua mmeo anavuta bangi? Inakuaje kuna watu wanafanya kazi nzuri kabisa managers, engineers, doctors etc na wanavuta bangi na wala hawafanyi vitu vibaya kama wengine wa mitaani wanavyochukuliwa...
  3. Misunderstood

    Naomba kujuzwa chimbo la vyombo kariakoo

    Hasa sufuria kama hizi kwa bei nzuri ambayo ni affordable, asanteni
  4. Misunderstood

    Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

    Habari wakuu! Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha! Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda! Msaada wenu tafadhali wapi naweza...
  5. Misunderstood

    Dalili za jini mahaba

    Dalili hizi nimezitoa katika mahubiri ya mtumishi aitwaye Arnold Kisanga wa Kilimanjaro katika moja ya masomo aliyoyatoa kupitia Radio Baraka FM 107.7 tarehe 19/02/2021; Dalili za kuwa na jini mahaba (signs that you're possesed by spiritual wife/husband): 1. Mafarakano katika ndoa 2. Kushiriki...
  6. Misunderstood

    Hivi hii tunaiitaje kitaalamu?

    Nimetoka kazini nimeshuka zangu kituoni paaap! Ghafla namuona ex wangu ambae hatujaonana takriban mwaka naaa hivi! Asee nikapanic bila kujielewa nikaingia dukani nikaanza kununua vitu ambavyo sivihitaji ilimradi nisionane nae, nimenunua mivitu kibao ili nipoteze muda! Kutoka kumbe ameniona...
  7. Misunderstood

    Chakula gani kinadumu wakati wa mfungo wa Kwaresma

    Habari! Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo! Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku. Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
  8. Misunderstood

    Naomba kuuliza

    Je, inawezekana mwanaume katika umri wa late 20's (27,28,29) akaamua kwa akili zake timamu na kwa uamuzi wake kuzaa na mwanamke asiyempenda? Yaani naamanisha mwanaume katika umri huo amuombe mwanamke azae nae, ilhali hana hisia zozote na huyo mwanamke? Na navohisi wanaume katika umri huo sio...
  9. Misunderstood

    Leo tangu mchana najisikia kifua kinabana na kichwa kuuma throughout!

    Habari za jioni! Leo tangia mchana najisikia kifua kinabana na kichwa kuuma throughout! Nimemeza painkiller imenisaidia walau kidogo lakini najiuliza hiki kifua nimekitolea wapi!? Ilihali situmiagi maji ya baridi kabisa? Yaani sijatumia kitu cha baridi siku nyingi sana! Nikisema feni, mimi...
  10. Misunderstood

    Kwanini Wanaume wana roho ngumu sana? Ngachoka!

    Jamani nyie! Kwanza naipenda hii platform kwasababu ya anonymity feature! Ila kwanini wanaume ni heartless sana? Inakuaje unamtafuta mwanamke miaka kama minne straight pale anapokupa nafasi unaanza kuzingua? Na mimi jamani nifanyaje!? Mimi ni introvert with few friends. Na ratiba zangu mm ni...
  11. Misunderstood

    Mdomo mchungu sana

    Habari zenu madaktari na wadau wa afya! Nina shida mdogo wenu week inaelekea ya pili sasa nimekuwa na mdomo mchungu mnooo, hasa nikiamka asubuhi. Saingine nasikia kama tumbo kuuma ila sina, na mdomo mchungu kuanzia ulimi, sehemu ya juu ya mdomo, kwenye koo nakua kama nakabwa na kohozi ambalo...
  12. Misunderstood

    Msaada wa kudownload spotify

    Habari wataalamu wa teknolojia! Jamani nimedownloa VPN PROXYMASTER ili niweze kudownload app ya Spotify kwasababu huku nchini kwetu hatuwezi kudownload sasa nikiingia Appstore naambiwa.... Naombeni msaada wa namna yoyote naweza download Spotify.
  13. Misunderstood

    Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

    Habari za asubuhi! Naombeni msaada wa tafsiri kwa ndoto hii niliyoota usiku wa kuamkia leo. Nimeota nilivaa viatu, tukiwa kwenye kikundi tukaingia kama kwenye darasa au mkutano ingawa sikumbuki nini kilifanyika humo. Muda wa kutoka natafuta viatu vyangu sivioni wakati wa kuzunguka kutafuta...
  14. Misunderstood

    Niwasaidiaje kaka zangu?

    Habari zenu ndugu zangu! Mimi ni mdada at my early 20’s. Na ni mtoto wa mwisho na wa kike katika familia yetu nikiwa na kaka zangu wawili mmoja early 30’s mwingine late 20’s. Katika familia yetu mimi ndiye niliyefanikiwa kufika hadi degree nawashukuru wazazi wangu waliweza kunipigania na juhudi...
  15. Misunderstood

    Inawezekana kweli?

    Habari vipenzi Nina swali linanitatiza mno, nikaona ni vyema nililete huku hakika nitapata majibu! Inapata miezi kama saba sasa tangu niachane na mpenzi wangu niliyemzoeaga sana niliyekuwa naye kwa kipindi cha miaka sita! Mwaka wa sita na wa mwisho ulikuwa mbaya sana kwetu ilopelekea mwezi wa...
Back
Top Bottom