Search results

  1. VUTA-NKUVUTE

    Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  2. VUTA-NKUVUTE

    'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
  3. VUTA-NKUVUTE

    Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

    Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja. Kabla ya jana, nilioneshwa...
  4. VUTA-NKUVUTE

    Ushauri kwa viongozi wangu wa chama na Serikali kuhusu ahadi za umeme

    Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi. Mimi...
  5. VUTA-NKUVUTE

    Mwanangu Makonda, umeichoka na kuikinai nafasi yako chamani?

    Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
  6. VUTA-NKUVUTE

    Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

    Kwanza, tunamshukuru Mungu kwa kuzuia hujuma zisizo na huruma kwa CCM yetu baada ya kuepusha kupokwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu jana. Shukrani zetu, kama makada waandamizi na wazee wa chama, ni kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia S. Hassan kwa kutusikiliza tulipomshauri cha kufanya...
  7. VUTA-NKUVUTE

    Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani. Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza tamaa ya Ukatibu Mkuu. Ukaratibu bila utaratibu wala kutubu mipango ya kuifanya nafasi ya Katibu Mkuu...
  8. VUTA-NKUVUTE

    Mikataba na DP World: Mengi mmeyasema, hili vipi?

    Chimbuko la mikataba mitatu iliyosainiwa jana ni mkataba-tata kati ya Tanzania na DP World. Mkataba huu ulipangwa kuchakatwa; kujadiliwa na kusainiwa sirini. Ulipovujishwa na 'mzalendo', ukaibua mjadala mkali. Wengi waliupinga na kuupiga. Serikali ikaiteka hoja kwa kudai kuwa inaruhusu maoni...
  9. VUTA-NKUVUTE

    Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

    Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tuliofuatilia tunajua kuwa...
  10. VUTA-NKUVUTE

    Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta...
  11. VUTA-NKUVUTE

    Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

    Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi...
  12. VUTA-NKUVUTE

    Chalamila, kauli yako juu ya wafanyabiashara Makumbusho inavunja Katiba

    Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale. Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya...
  13. VUTA-NKUVUTE

    Naiuliza Serikali, huu 'uhaini' hautawatisha wawekezaji wakiwemo DP World?

    Hili jambo la 'uhaini' lililoanzishwa na IJP Wambura na kuafuatia kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Nyagali na Dr. Slaa linanitafakarisha sana. Inaripotiwa humu na kwingineko kuwa akina Wakili Mwabukusi wamehojiwa kwa kosa la uhaini. Kosa la kutaka kuipindua Serikali au kumuua/kumdhuru Rais. Kosa...
  14. VUTA-NKUVUTE

    Huyu ni Wakili 'wa kutegemewa' na si wakujitegemea

    Ni Wakili Mwandamizi pale Tanganyika Law Society (TLS). Ni Wakili mbobevu lakini kwa ndani ni 'mwonevu'. Kutokana na ukongwe na ubobevu wake, TLS na hata 'wanaharakati' huwa hawamkosi kwenye majopo yao ya Mlalamikaji au Walalamikaji. Ni mjenzi mzuri wa hoja za haja. Ana Kampuni yake ya...
  15. VUTA-NKUVUTE

    CCM tumemaliza risasi zote tetevu za Mkataba wa Bandari. Tunatokaje?

    Mwanzoni, sikuwa namwelewa Wakili Mwambukusi. Alisema kuwa suala hili la Bandari halitaisha kirahisi kama ilivyozoeleka. Akasisitiza kuwa suala hili litapingwa mahakamani na siasasi. Ingawa nami tangu mwanzo naupinga bila kuvunga Mkataba wa Bandari wa DP World, niliitazama kwa wepesi kauli ya...
  16. VUTA-NKUVUTE

    Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  17. VUTA-NKUVUTE

    Nani anaratibu haya kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?

    Rais ni mkuu wa Serikali na nchi. Rais ni nembo yetu; fahari yetu; kiongozi wetu na kiungo chetu. Lakini, Rais ni 'mwajiriwa wetu' nambari moja nchini. Ndiyo maana, akifanya vizuri tunamsifu na akifanya vibaya tunamkosoa na kumsema. Tunapaswa kujua anakoenda na anachoenda kufanya. Labda kama...
  18. VUTA-NKUVUTE

    DP World ni mwanzo tu, mengi yatafuata

    Tanzania hii si ile. Watanzania hawa si wale. Wakati wetu (tukiwa kwenye kutumikia Serikali na chama), ilikuwa rahisi kama kula bisi kuwaaminisha watanzania juu ya jambo fulani. Ilikuwa rahisi kuwaambia Tanzania kuwa jezi za Simba ni za njano na za Yanga ni nyekundu. Na waliamini. Propaganda...
  19. VUTA-NKUVUTE

    Hakika uanasiasa unamdhalilisha na kumuanika Spika Tulia A. Mwansasu

    Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri...
Back
Top Bottom