Search results

  1. David Mgeni

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    naomba nipm tafadhali
  2. David Mgeni

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wakuu kama kuna mtu anafanya kazi tra bagamoyo anicheck tafadhali
  3. David Mgeni

    Naomba kupata connection ya mtu anayefanya kazi TRA Bagamoyo

    Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
  4. David Mgeni

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Madereva wanaoenda mbeya tupeane konnection
  5. David Mgeni

    Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

    Dereva anaeenda mbeya leo toka dar anipe lift
  6. David Mgeni

    Nahitaji msaada wenu

    Gharama je
  7. David Mgeni

    Nahitaji msaada wenu

    Samahani ndugu zangu nina ndugu yangu ana ujauzito ila anatokwa damu ukeni je naweza kupata msaada wenu NB:yuko vibaya kiuchumi
  8. David Mgeni

    Thamani ya fedha hizi

    Salama wakuu samahani wakuu naomba kuuliza anaejua thamani ya fedha hizi ambazo ni fifty dirham na 5 us dollar zote za zamani
  9. David Mgeni

    Je, umewahi kughairi mechi ya kula/ kuliwa tunda? Ilikuwaje?

    Picha linaanza hataki kondomu halafu anajikuna tumbo huku akikohoa nilijiambia cha kufia nini nikasepa mdogo mdogo nikinyata nyata kuutafuta ufalme wa mbingu
  10. David Mgeni

    Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

    Kuna mwana huwa anavaa cap mara nyingi nyeupe yupo karibu na geti la kwanza kuingia tbl napita nikaona wana wanakunywa juice nikauliza bei akasema 500 nikanywa ikaisha baadae anasema nimlipe buku eti nimekula na cake dah na alikaza kweli nikamlipa kwa unyonge
  11. David Mgeni

    Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Nyimbo kali sana harmonize kweli jeshi
  12. David Mgeni

    Wanaume hii bajeti inapita?

    Hivi kimboka huwa naenda mimi tu au
  13. David Mgeni

    Heri ya mwaka mpya 2022

    Asante sana nawe uwe ni mwaka wenye baraka na fanaka zaidi kwako
Back
Top Bottom