Search results

  1. lwifunyomangula

    Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    MREJESHO (sikuwapa kwa muda mrefu) - baada ya bandiko Hili kuliweka mitandao mbalimbali usiku, Asubuhi nilivyoamka nikapigiwa simu na manager (wa high level) akiomba msamaha kwa yaliyotokea na akasema tayari wameshairejesha pesa yangu yote kwenye simu yangu - nikamwambia sawa, ila mmenipotezea...
  2. lwifunyomangula

    Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Back
Top Bottom