Search results

  1. Jiwe kuu01

    Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

    Ni kwel mkuu Kuna baadhi ya Samsung Kama note 8 inakaa na charge had unahic raha
  2. Jiwe kuu01

    Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

    Duuuh hivi Niki I root Hili tatzo linaweza likaisha?
  3. Jiwe kuu01

    Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

    Daaah aseeeh Yan hii phone haina raha kabsa
  4. Jiwe kuu01

    Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

    Mkuu inasumbua hatari Yani haikai na charge nilinunua mwez wa tano mpaka Sasa nimeibadilishia betry mara mbili daaah
  5. Jiwe kuu01

    Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

    Wakuu habari zenu, Naiman mu wazima wa Afya. Wakuu Nina simu yangu Samsung Galaxy S7 edge ina tatizo kubwa linalo ninyima raha Wakuu simu yangu haikai na charge yan nikicharge nikifungua data hayapiti masaa manne charge yote inaisha nimejaribu kubadili betry lakin tatzo liko vile vile Wakuu...
  6. Jiwe kuu01

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Wakuu Mkopo wa miaka mingine wai uplod mda huu subirin kidogo thn muingie tena
  7. Jiwe kuu01

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mkuu upande wa allocation kwako wamekuwekea mzgo ama ina kuaje maana Kuna jamaa zangu nimewaangalizia upande wa allocation wameandikiwa congratulations lakini ukitaka kuview allocation unakutana na ujumbe huu
  8. Jiwe kuu01

    MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Kwenye Account ya jamaa yang wamemwandikia congratulations af ukiangalia allocation wameweka hivyo
  9. Jiwe kuu01

    MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Wakuuu ujue Bodi hawapo seriously kabsa kulikuwa na haja gani Sasa ya kumuandikia m2 congratulations af wanamwambia asubiri batch nyingine au hii inamaana gani
  10. Jiwe kuu01

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Wakuu punguzen pressure baada ya lisaa ingien Tena kwenye Account zenu
  11. Jiwe kuu01

    Vyumba na Hostel kwa wanafunzi wa Chuo

    60k chumba Cha kawaida
  12. Jiwe kuu01

    Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Mama yako umemuona?? Inama chungulia chini
Back
Top Bottom